Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Ndugu yangu, inakaribia mwezi kwa hali iliyokukumba ndiyo iliyonikumba. Jukwaa la kimataifa napo pako kimya, mada zime lala. Intelligence nalo bado. Nimeishia kutizama taarifa za habari YouTube. Nafungua tena Jf nakutana na andiko lako.

Usiku mwema kama upo Tanzania.
Haaaaa mkuu anzisha wewe Uzi ili tuchangie pia, maana jf hakuna Tena mvuto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu, inakaribia mwezi kwa hali iliyokukumba ndiyo iliyonikumba. Jukwaa la kimataifa napo pako kimya, mada zime lala. Intelligence nalo bado. Nimeishia kutizama taarifa za habari YouTube. Nafungua tena Jf nakutana na andiko lako.

Usiku mwema kama upo Tanzania.
Soma nyuzi zetu mbona tupo tunaoleta nyuzi za maana humu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Mimi kabisa looh,
Angekuwepo the bold maybe!
Siku hizi hapa wamevamia watoto kutoka Facebook pamekuwa kama kijiwe cha watu wasiojitambua.
Haaaaaaaaaaa mkuu jf hamna mambo yakufikirisha au kusaidia Sana zaidi ya udaku, siasa uchwara na mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums ya 2015 kurudi nyuma hapa palikuwa pa moto ilikuwa kila uki-log out ukiingia tena unakutana na nondo za maana ila sasa hamna kitu,mods litazameni hili.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Siuseme tu ni mke wako ndo anajiachia hivyo kwa sasa baada ya kufunga nae pingu za maisha wakati wa uchumba alikuficha tabia yake halisi ya umber rutty kazi unayo mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujamba? Mbona Ni Kawaida Tu? Tena Unaachia Ushuzi Kwa Uhuru Kabisa. Wakati Mwingine Kujamba Mbele Yake Ni Utani Ili Kuchekeshana Tu. Kuna Kijambo Ndani Ya Shuka Kilichoachiwa Bila Mlio Kinanuka Hasa, Lengo Ni Kufanya Utani Tu. Yako Mambo Mengi Ikiwepo Kukojoa Mbele Yake Bila Kuona Aibu
 
Ila sio adi kwenye chakula aah hyo ni mbaya
 
Back
Top Bottom