Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

kwan wewe ni mwanaume peke yako ambaye naweza kuishi nae nakutupilia mbali na tabia zako za kishenzi
Kujamba sio ushenz wala tabia mbaya mkuu..... Ni hali ya kujipa uhuru tuu tena kwa beby wako mashallah[emoji1]
 
Msaada tutani jamani,nina rafiki yangu anaitwa fyandomo ameniuliza swali hivi punde lililonifanya nichekeeee kisha nikamwambia nina kazi kidogo nitamrejea kumpa jibu sahihi,lakini ukweli ni kwamba hata hilo jibu ninaloweza kumwambia ni sahihi mimi pia sinalo na ndio chanzo cha kukimbilia huku kwanza kwenu wana jamvi maana najua penye wengi hapakosi utatuzi wa tatizo ama swali na jibu lake.

Amenidokeza kuhusu mke wake kuwa na tabia ya kujamba mbele yake pale anapojisikia bila kuwa na aibu yoyote hata wakati wa kula chakula,anasema tabia hiyo hakuwa nayo kipindi cha uchumba wao wakiwa Faragha popote pale (enzi za u-sister duu wa kitaani) kwa karibu ya miaka 3 yote,na hata baada ya kuanza kuishi pamoja kwa kipindi cha karibu miaka 2 wakiwa ndani ya ndoa hajawahi kuwa mtu wa kujiachia hivyo kwenye kujamba pasipo soni,ila kwa mujibu wa jamaa yangu fyandomo anasema kwa kipindi cha miezi 6 ya kutoka november mwaka jana mpaka sasa ndio ameanza ka mchezo hako.

Kwa upande wake anasema mwanzoni alichukulia kama ni bahati mbaya pengine gesi ilikuwa ikijaa tumboni na kuamua kumtoka pasipo tegemea hivyo waliishia kucheka na kutaniana,lakini sasa imekuwa ni too much na amegundua mkewe ameshafanya kamchezo mpaka inafikia hatua anaamua tu achambe za YUSUUUUUPHHH........au zile za MBUUUUUU na tena hata kwa kujikamua anapoamua.

Mwanzoni kwake anasema alikuwa anachukulia poa lakini kwa sasa imeshakuwa kadhia kwake,kiasi ameniambia kuna wakati wakiwa wamelala usiku mkewe akafyatua ufudu wakiwa ndani ya shuka ikamlazimu amfungukie kuwa awe na staha na ujambaji wake,lakini mkewe akamjibu AMUACHE APUMUE KWA RAHA ZAKE NA ETI KUMUULIZA KUPUMUA NAKO NI DHAMBI?,anasema ilimlazimu tangu siku hiyo afunge mdomo wake mpaka sasa na mwendo ni ule ule.

Sasa ndio ameniuliza,KAMA NI HATUA YA KUDHARAULIWA , NDIO KUCHOKWA au NI SEHEMU YA MAPENZI?

Nisaidieni jibu sahihi tafadhari ili nimpatie,liwe la Reja Reja au la Kisaikolojia mi ntampa yote atajiongeza mwenyewe kwa kuchagua.

Naomba kuwasilisha.
hana adabu huyo
 
Et guyz naombeni kujua hivi kujamba mbele ya mpenzi wako ni sawa au si sawa?! Binafsi huwa najamba tu wala sioni shida. Imekaaje kwa upande wako?
Ipo siku nitakwambia unionyeshe kijambio maama umezidi kujamba bibie
 
Ukiona umedumu na mpenzi wako kwa zaidi
ya miaka 3 na kuendelea na hajawahi kujamba
mbele yako, achana nae faster.
Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni
vingapi atakuwa ameshakuficha!?
 
Kweli kabisa maana kujamba ni jambo ambalo kila binadam anajamba...wengine wanajifanya hawajambi kumbe ukute ndo mabingwa wa mishuzi hatar[emoji1][emoji1][emoji1] anakuaje afiche vitu ambavyo ni vya kawaida je vingije itakuaje
Ukiona umedumu na mpenzi wako kwa zaidi
ya miaka 3 na kuendelea na hajawahi kujamba
mbele yako, achana nae faster.
Kama anaficha kitu kidogo namna hiyo ni
vingapi atakuwa ameshakuficha!?
 
Kama ni chumbani poa... Ila km hadi wkt wa kula basi huyo amekuzidi hasira

Vp huwa anacheka au?? Kama anacheka basi ni jokes na istoshe na Mme wake ana Tabia hiyo
Bila shaka uyo mkewe kama cyo msukuma wa SIMIYU basi line yake ya pwani jamaa wanajipigia bila gharama kbsa na frequency zote zimeshafumuliwa
 
Mimi kwa leo nimekomea hapa!

Maana nazunguka hapa nusu saa sasa natafuta mada za kuchangamsha akili hakuna naona namaliza bundle langu tu ngoja nitafute kitu kingine cha kufanya.
 
Back
Top Bottom