Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Ohhhh,how can you differentiate them by smells![emoji40]
Kujambiwa na mpenzi kunaonyesha mapendo kwani huyo mpenzi atakuwa anataka ujuwe harufu yake ya kinyesi na wengine wanafanya makusudi ili upime kama ni bikra au la kwani harufu ya demu bikra akijamba inajulikana kwetu sie wapakua oil. Hata mwanamme akijamba ninajuwa tu kama ni bikra au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni MWANAMKE KAJAMBA mbele ya MWANAUME wake elewa kuna KITU KAKIMISS,,,,JIONGEZE..na kama MWANAUME KAJAMBA MBELE YA MWANAMKE WAKE HILO TATIZO..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada tutani jamani,nina rafiki yangu anaitwa fyandomo ameniuliza swali hivi punde lililonifanya nichekeeee kisha nikamwambia nina kazi kidogo nitamrejea kumpa jibu sahihi,lakini ukweli ni kwamba hata hilo jibu ninaloweza kumwambia ni sahihi mimi pia sinalo na ndio chanzo cha kukimbilia huku kwanza kwenu wana jamvi maana najua penye wengi hapakosi utatuzi wa tatizo ama swali na jibu lake.

Amenidokeza kuhusu mke wake kuwa na tabia ya kujamba mbele yake pale anapojisikia bila kuwa na aibu yoyote hata wakati wa kula chakula,anasema tabia hiyo hakuwa nayo kipindi cha uchumba wao wakiwa Faragha popote pale (enzi za u-sister duu wa kitaani) kwa karibu ya miaka 3 yote,na hata baada ya kuanza kuishi pamoja kwa kipindi cha karibu miaka 2 wakiwa ndani ya ndoa hajawahi kuwa mtu wa kujiachia hivyo kwenye kujamba pasipo soni,ila kwa mujibu wa jamaa yangu fyandomo anasema kwa kipindi cha miezi 6 ya kutoka november mwaka jana mpaka sasa ndio ameanza ka mchezo hako.

Kwa upande wake anasema mwanzoni alichukulia kama ni bahati mbaya pengine gesi ilikuwa ikijaa tumboni na kuamua kumtoka pasipo tegemea hivyo waliishia kucheka na kutaniana,lakini sasa imekuwa ni too much na amegundua mkewe ameshafanya kamchezo mpaka inafikia hatua anaamua tu achambe za YUSUUUUUPHHH........au zile za MBUUUUUU na tena hata kwa kujikamua anapoamua.

Mwanzoni kwake anasema alikuwa anachukulia poa lakini kwa sasa imeshakuwa kadhia kwake,kiasi ameniambia kuna wakati wakiwa wamelala usiku mkewe akafyatua ufudu wakiwa ndani ya shuka ikamlazimu amfungukie kuwa awe na staha na ujambaji wake,lakini mkewe akamjibu AMUACHE APUMUE KWA RAHA ZAKE NA ETI KUMUULIZA KUPUMUA NAKO NI DHAMBI?,anasema ilimlazimu tangu siku hiyo afunge mdomo wake mpaka sasa na mwendo ni ule ule.

Sasa ndio ameniuliza,KAMA NI HATUA YA KUDHARAULIWA , NDIO KUCHOKWA au NI SEHEMU YA MAPENZI?

Nisaidieni jibu sahihi tafadhari ili nimpatie,liwe la Reja Reja au la Kisaikolojia mi ntampa yote atajiongeza mwenyewe kwa kuchagua.

Naomba kuwasilisha.
Atakuwa anauma huyo.
 
Kwa kifupi hiyo sio ustaarabu.
One time huwa inatokea lakin kama imekua dat much then u better cross check the pipeline kama iko na leakage .Inawezekana wahun washaitoboa wanajichotea tu wanavyotaka..
 
[emoji28][emoji23] anazingua,labda anataka aje nimpime tezi dume(PSA)
Mbona Anakung'ang'ania Wewe kaka ?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unapojamba si unajisikia freshi? Ila kwa kistaarabu kwani ni hewa chafu . Ukiwa kati ya watu ,sogea pembeni, jamba subiri harufu iishe kisha jongea kundini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom