Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Kawaida yani mimi ndio sijuagi hata kuvumilia niwapo na mpenzi..nauachia tu ..tuzoeane tu
 
Et guyz naombeni kujua hivi kujamba mbele ya mpenzi wako ni sawa au si sawa?! Binafsi huwa najamba tu wala sioni shida. Imekaaje kwa upande wako?
 
Wafukua makaburi vipi teeeena [emoji1][emoji1][emoji1] mtaniandama sana..... Nendeni straight kwenye mada wakuu sio kufukua makaburi tuuu
 
Kuna baadhi ya watu et wanaogopa kujamba mbele ya madem zao wanaona aibu..... Mie sinaga hizo najamba ushuzi heavy mpk anaomba poo [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom