Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Kujamba kwa mwanaume kunaongeza nguvu za kiume na hisia za mapenzi kwa mpenzi wako kwa sababu mke akijamba mwanaume anaongeza ashiki kwa kutaka kujua fyuzi zimepita wapi hadi kutoka nje ya makalio makubwa,
 
Inaongeza uaminifu...maana kama unaweza kuficha ushuzi ambao upo kibaolojia...mangapi unamficha mwenzi wako!!
Ila usizidi sana.
 
Mimi kwa leo nimekomea hapa!

Maana nazunguka hapa nusu saa sasa natafuta mada za kuchangamsha akili hakuna naona namaliza bundle langu tu ngoja nitafute kitu kingine cha kufanya.
Ndugu yangu, inakaribia mwezi kwa hali iliyokukumba ndiyo iliyonikumba. Jukwaa la kimataifa napo pako kimya, mada zime lala. Intelligence nalo bado. Nimeishia kutizama taarifa za habari YouTube. Nafungua tena Jf nakutana na andiko lako.

Usiku mwema kama upo Tanzania.
 
Back
Top Bottom