Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Kuna mahali nilisoma kuwa, Kama Mpenzi wako ni mkweli na mwaminifu basi kujamba mbele yako ni jambo la kawaida saaaana. Kwahio kuna uhusiano WA uaminifu au uwazi na kujamba, take it easy
 
Jamaa ako ndo hana adabu kuliko anayofikiria kwa mkewe, mbona halalamiki kuwa mkewe anakula mbele yake???
 
Ni mapenzi,tena saa nyingine inapendeza zaidi mkiwa mmejifunika shuka moja halafu akaachia mkiwa ndani...
 
Nilikua lounge moja niko alone, ghafla wakaingia 'warembo' kama wa4, wakakaa karibu yangu, haikupita dakika 10, hewa ilichafuka vibaya mno, wale wadada wanaulizana ni wewe, ni wewe...nikavumilia.... baadae tena wakaachia...ilibidi nihame.. staha ni muhimu...huyo atakua na matatizo
 
HASA akajambe wapi usiku wamelala....afu hyo inaeza ikawa signal unalizwa kitu jamaa angejongeza tu ...hawa watu vipi meko anajamba unaenda kumwambia rafiki si unataka akamfire sasa.
 
Usipoweza kuwa free kujamba mbele ya mke au mume wako basi hamjashibana kisawasawa.
 
Back
Top Bottom