Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Mpenzi kujamba mbele yako ni dharau au mapenzi?

Et guyz naombeni kujua hivi kujamba mbele ya mpenzi wako ni sawa au si sawa?! Binafsi huwa najamba tu wala sioni shida. Imekaaje kwa upande wako?
hakili ni nywele kila mtu na zake siwez kukushangaa maana akili tunatofautiana ila mm kwangu ni vibaya
 
Kwani kuna ubaya gani ebana eee mkipendana kuasi ya kuwa kama kitu kimoja chochote kufanya mbele ya mwenzie sio tatizo. Unashangaa wengine hata kuoga pamoja ni inshu
Finally kujamba mbele ya mpenzi wako sio shida unapopitiwa
 
susandaud
Nenda google search vidonge vya ushuzi utapata jibu mkuu tena unapata k mm vile vya strawberry [emoji526] ukitaka vya [emoji519] au orange whatever u want mkuu
 
Back
Top Bottom