Mpenzi karibu uwe wangu

Mpenzi karibu uwe wangu

Nipo shosti ebu mkubali huyo mkaka anamaanisha ujue
Wewe ni rafiki mbaya kweli kweli,badala ya kumsaksia kwangu eti unamsaksia kwa watu wengine!![emoji32]......mimi unataka niendelee kuwa mseja hadi lini?[emoji32][emoji32][emoji32]
 
Wewe ni rafiki mbaya,bada ya kumsaksia kwangu eti unamsaksia kwa watu wengine!![emoji32]......mimi unataka niendelee kuwa mseja hadi lini?[emoji32][emoji32][emoji32]

Post sent using JamiiForums mobile app
Tatizo rafiki hueleweki nini unataka halaf utani mwingi sana mtu anajua haupo serious
 
Wewe ni rafiki mbaya kweli kweli,badala ya kumsaksia kwangu eti unamsaksia kwa watu wengine!![emoji32]......mimi unataka niendelee kuwa mseja hadi lini?[emoji32][emoji32][emoji32]

Post sent using JamiiForums mobile app
ahaaaa yaani wewe atakaekupata ana hasara
 
mambo ya mume wangu kupigiwa simu ooh njoo mtoto anaumwa sitaki .aje yeye sio mume wangu amfate.
Naona Miss natafuta jamaa ameshakuwa mume ila tatizo mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Back
Top Bottom