Mpenzi karibu uwe wangu

Mpenzi karibu uwe wangu

mimi nataka tukae na mtoto kabisa kama inawezekana mtoto mama yake anaruhusiwa kuja kumuona anytime ata akitaka kuhamia poa

Wacha tu akae kwa mama amlete kwa mapenzi yake. Kukumbushiana ni tabia tu anaweza akakumbushia kwa wengine jiamini. Ila mi mpinzani wako huko pm
 
Hapana 31 bado mdogo sana yaani hapo tutazeeka wote


nilimanisha amevuta age 18-40yrs atleast humo wataingia weng!yeah kwa age ya 31 aku! maana tunaopambana nao ni age hizo hizo! huyu aoe age km 22 yrs hv! heshima itakuwepo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom