Mpenzi hajakariri namba yangu ya simu,ananipenda kweli?

Mpenzi hajakariri namba yangu ya simu,ananipenda kweli?

Tuna mahusiano ya zaidi ya miezi nane.leo nikamwambia ninunulie kifurushi kupitia simu yako kwa kuwa me nadaiwa na tigo nilikopaga tigo niwezeshe.si ndo ikafika ile sehemu ya kuandika namba eti hajui namba yangu ananiuliza nimtajie.ikabidi nimwambie kuwa hayupo serious na mimi,how come anashindwa kumeza namba yangu?nimekuja kwenu ma Al watan mnipe ushauri,mwanamke wa hivi nimwache au niendelee naye maana me nahisi Kama hanipendi kwanini hanizingatii inawezekana Ni tatizo hili
Huyo n mwanamke mzuri(ukimuacha niunganishie mm),maana kama ataikariri yako ujue za ma-ex wake pia ziko kichwan,akikumbuka show zao anawachek faaaasta hku akijdai kakosea namba
(NAKUSHAURI MUACHE HARAKA HALAFU NIPE NAMBA ZAKE NIMUONYE)
 
Kweli wanaume wanazidi kupungua.
Kama ishu ya kukariri namba tu nayo unaleta jukwaani hakika dunia inazdi kuelemewa na mizigo

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanza tu umeshindwa kulipa mkopo wa vocha tigo, unamshirikisha kukwepa hilo deni. inaonyesha hata huna uwezo wa kumnunulia vocha sasa atakupenda kwa lipi hapo we kapuku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi walio weka Phone Book Walikuwa Wajinga?? Chagua moja kati ya haya

1.Akariri namba yako lakini asisave kwenye simu yako kila mnacho fanya kupitia simu atakuwa anafuta

2.Asave namba yako lakini asikariri
 
Back
Top Bottom