Mpenzi hajakariri namba yangu ya simu,ananipenda kweli?

Tuna mahusiano ya zaidi ya miezi nane.leo nikamwambia ninunulie kifurushi kupitia simu yako kwa kuwa me nadaiwa na tigo nilikopaga tigo niwezeshe.si ndo ikafika ile sehemu ya kuandika namba eti hajui namba yangu ananiuliza nimtajie.ikabidi nimwambie kuwa hayupo serious na mimi,how come anashindwa kumeza namba yangu?nimekuja kwenu ma Al watan mnipe ushauri,mwanamke wa hivi nimwache au niendelee naye maana me nahisi Kama hanipendi kwanini hanizingatii inawezekana Ni tatizo hili
Ahahahahahahah.. we jamaa unachokoza watu. Ona sasa walivyokushambulia. Kushika number ya simu!!? Na simu ina kazi gani??
 
Tuna mahusiano ya zaidi ya miezi nane.leo nikamwambia ninunulie kifurushi kupitia simu yako kwa kuwa me nadaiwa na tigo nilikopaga tigo niwezeshe.si ndo ikafika ile sehemu ya kuandika namba eti hajui namba yangu ananiuliza nimtajie.ikabidi nimwambie kuwa hayupo serious na mimi,how come anashindwa kumeza namba yangu?nimekuja kwenu ma Al watan mnipe ushauri,mwanamke wa hivi nimwache au niendelee naye maana me nahisi Kama hanipendi kwanini hanizingatii inawezekana Ni tatizo hili
Kweli ww ni ndege akili fupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sio unataka yeye aikariri ya kwako je wewe ya kwake umeikariri?
Kama kweli umeikariri hebu iandike hapa bila kuangalia kwenye phone contacts.

Maendeleo hayana chama
 
Tuna mahusiano ya zaidi ya miezi nane.leo nikamwambia ninunulie kifurushi kupitia simu yako kwa kuwa me nadaiwa na tigo nilikopaga tigo niwezeshe.si ndo ikafika ile sehemu ya kuandika namba eti hajui namba yangu ananiuliza nimtajie.ikabidi nimwambie kuwa hayupo serious na mimi,how come anashindwa kumeza namba yangu?nimekuja kwenu ma Al watan mnipe ushauri,mwanamke wa hivi nimwache au niendelee naye maana me nahisi Kama hanipendi kwanini hanizingatii inawezekana Ni tatizo hili
Ina uma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ya kitoto ni changamoto, na hapo mnaweza achana kabisaaa juu hajameza namba zako
 
Tuna mahusiano ya zaidi ya miezi nane.leo nikamwambia ninunulie kifurushi kupitia simu yako kwa kuwa me nadaiwa na tigo nilikopaga tigo niwezeshe.si ndo ikafika ile sehemu ya kuandika namba eti hajui namba yangu ananiuliza nimtajie.ikabidi nimwambie kuwa hayupo serious na mimi,how come anashindwa kumeza namba yangu?nimekuja kwenu ma Al watan mnipe ushauri,mwanamke wa hivi nimwache au niendelee naye maana me nahisi Kama hanipendi kwanini hanizingatii inawezekana Ni tatizo hili
Atakuwa anajua kuwa una vyeo kule CHAPUTA
 
Amesave kwa namba au kwa jina? kushika namba siku hizi siyo ishu, ishu ni wewe kumtengenezea mazingira ya kukupenda. full stop.
 
Namba nayo jua Mimi ni ya mzee na za kwangu tu zingine ( michepuko ) uwa najua zinaishia na ngapi that'll
 
Back
Top Bottom