Mpenzi anapokuwa mkali kuhusu ndoa na kucheki afya

Hakupendi huyo anakupotezea tu mda wako,,, piga chini huyo beberu.

Tatizo lenu huwa mnaulizia harusi tuu mpaka mnakuwa kero. Amwambie jamaa akatoe mahali kwao ili waanze familia aone kama atagoma! Siku hiyo hiyo wataenda kupima. Huwa nakerwa na mwanamke anayeulizia harusi tuu, hat a siku moja humkuti akiulizia kiwanja utanunua lini?
 
Tatizo c harusi,,,, inshu ni kukaa na mtu mda mrefu bila kuwa na future nae!!!!!
kuuliza ni vzr ili kujua kama usubiri au utembee...
 
No, huwa mnatanguliza hadithi za 'bila harusi siolewi!' Ndio maana tunaendelea kuwekana weeee mpaka basi! Tena usikute mtu mwenyewe ni pasua kichwa, wala hata sijigusi. Kingine kinachosumbua ni ile mko kwenye uhusiano hats mwaka haujaisha MTU anaanza habari za ukajitambulishe kwao! Khaaa! Kwani ni emergency?
 
Wamekusikia.
 
Wamekusikia.

Na wewe ukiwemo, unless wenye macho wawe walishabeba! Hakuna kero tunakutana nayo kama kuulizwa mambo ya harusi. Ni bora hata kero za muungano. Yaani unakuta hata maisha ya kulala na kuamka hayako vuzuri ye kichwani kwake ni harusi tuuuuuu!
 
Cc: wapenda harusi wote bila maandalizi.
 
Hivi mtu kama huyu unafanyeje?
1. ikiwa unaishi nae mwambie arudi kwao.
2. ikiwa anaishi kwao, achana nae kabisa, anzia kutokumpigia au kupokea simu yake....
3. nenda kapime mwenywe afya yako...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom