Mpenzi anapokuwa mkali kuhusu ndoa na kucheki afya

Mpenzi anapokuwa mkali kuhusu ndoa na kucheki afya

LAKI

Senior Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
100
Reaction score
37
Salamu kwa wote!

Jamani embu nisaidieni kwa ushauri,

Hivi msichana unapomwambia mpenzi wako mkacheki afya hataki, unamshauri mfunge ndoa anakuambia ndoa ina process na hataki kulazimishwa. Pia hataki ushauri wowote anadai nafasi ya kutoa ushari alipewa mama yake tu kipindi akiwa mdogo. Hakujali kwa lolote ila meseji za kukuambia anakupenda anautumia kila mara.

Hivi mtu kama huyu unafanyeje?

asanteni,
 
Mahaba niumize ndio jina la mtu kama huyo
 
Unamwambia tu isiwe tabu wanawake kila leo wanazaliwa...
 
Hana malengo na wewe hyo jaribu kuongea nae kwa kina
 
^^
Inawezekana akawa sahihi ikiwa tu wewe anakuweka PLAN 'X' na sio plan A au B
^^
 
Tehtehteheh, pole mwaya
Hebu anza kusearch taratibu au kama kuna mkaka ulimkataa rudi plz, hapo hakuna mapenzi ni kupotezeana time tu

Salamu kwa wote!

Jamani embu nisaidieni kwa ushauri,

Hivi msichana unapomwambia mpenzi wako mkacheki afya hataki, unamshauri mfunge ndoa anakuambia ndoa ina process na hataki kulazimishwa. Pia hataki ushauri wowote anadai nafasi ya kutoa ushari alipewa mama yake tu kipindi akiwa mdogo. Hakujali kwa lolote ila meseji za kukuambia anakupenda anautumia kila mara.

Hivi mtu kama huyu unafanyeje?

asanteni,
 
aah!wapi ukiona manyoya ujue kashaliwa nafasi ya future ni ndogo sana. kua busy na mambo yako huku ukitazama mbele tu.
 
hapa ni ccm(chukua chako mapema) , au clm (chapa lapa mapema)............

kazi kwako........
 
HAchana na huyo m2; hana malengo ya kujenga familia nawe - anaogopa majukumu .... mwanaume ndo inabidi aanzishe hiyo topic ya ndoa na mambo mengine ya future.
 
Salamu kwa wote!

Jamani embu nisaidieni kwa ushauri,

Hivi msichana unapomwambia mpenzi wako mkacheki afya hataki, unamshauri mfunge ndoa anakuambia ndoa ina process na hataki kulazimishwa. Pia hataki ushauri wowote anadai nafasi ya kutoa ushari alipewa mama yake tu kipindi akiwa mdogo. Hakujali kwa lolote ila meseji za kukuambia anakupenda anautumia kila mara.

Hivi mtu kama huyu unafanyeje?

asanteni,

hilo laku check afya mkomalie, asipotaka kabisa fanya maamuzi magumu coz uhai hauuzwi popote ukizembea itakula kwako huwezi jua. Hayo mengine vumilia ila ukiona miaka tayari inapita hakuna kinacho endelea akili kumkichwa sikiliza filimbi kushoto geuka kulia geuka nyuma geuka mbele tembea hatimae utajikuta upo namtu mwingine mwenye future nawewe na anaye jielewa na kukuthamini pia.
 
Salamu kwa wote!

Jamani embu nisaidieni kwa ushauri,

Hivi msichana unapomwambia mpenzi wako mkacheki afya hataki, unamshauri
mfunge ndoa anakuambia ndoa ina process na hataki kulazimishwa. Pia
hataki ushauri wowote anadai nafasi ya kutoa ushari alipewa mama yake tu
kipindi akiwa mdogo. Hakujali kwa lolote ila meseji za kukuambia
anakupenda anautumia kila mara.

Hivi mtu kama huyu unafanyeje?

asanteni,
Km hujui kusoma hata kuangalia picha unashindwa!!?? Chagua mwenyewe ktk mambo hayo mawili,penzi unalopewa na matendo yake au message za Nakupenda..!!
 
Hakupendi huyo anakupotezea tu mda wako,,, piga chini huyo beberu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom