Mpenzi amenidhurumu pesa zangu.

Mpenzi amenidhurumu pesa zangu.

Ok sina akili ila nikwamba mtu anarisk kubeba mimba yako nyingine bado unamtia mashaka juu ya upendo wake, haya ni mapenzi ombea yasikukute sawa.
Wewe bado unampenda sana kwa kauli hii, au bado hujawa matured. Kubeba mimba ni upendo? Hivi umelala au umelewa?! Watu wanabeba mimba tu ili wafanikishe mipango yao, wewe unakuja kuona ni upendo.

Kwanza ulitakiwa ujue jambo moja, mkopo hauchukuliwi kuwa mtaji, bali unachukuliwa kuendeleza biashara au kuipanua. Hilo ni kosa kubwa ulilifanya.

Ukija kwa huyo mwanamke, alikutegeshea mimba hiyo kusudi aje kutimiza jambo hilo. Na hata hao wazazi wake nahisi wapo upande wake, hukujua hilo. Kikubwa uliandaliwa kupigwa toka kitambo, wewe ukajenga imani kupitiliza.

Ukiendelea kuwa na fikra hizo kubeba mimba ni upendo, basi utakuwa ukipigwa vitu vizito kila kukicha.
 
Ni seme hv hakuna mtaalamu wa mapenzi , ukiona mwenzio fala basi ujue halijakutokea , hyo biashara ni ya kununua zao fulani kisha unapeleka kwenye chama cha msingi then baada ya muda unalipwa, baba yake ni mwenyekiti wa chama cha msingi so tulitumia account ya baba yake ili ela itoke kwa haraka, na nikweli ilikuwa inatoka kwa haraka , yani tunapata ela kisha tunanunua bidhaa kwa wakulima then tunauza kwenye chama cha msingi. Ndani ya iyo akawa anakarabat nyumbani yao ambayo ilikuwa gofu tu.
 
Kila siku mnaambiwa mchumba hasomeshwi wala hafunguliwi biashara ila hamsikii.
 
Kila siku mnaambiwa mchumba hasomeshwi wala hafunguliwi biashara ila hamsikii.
Sijamfungulia biashara, tulifanya biashara kwa manufaa ya familia, kumbe yy nia yake ni kunidhurumu, je hujawahi kusikia mtu anadhurumiwa au kutapeliwa ? so kitu cha kawaida.
 
Ni seme hv hakuna mtaalamu wa mapenzi , ukiona mwenzio fala basi ujue halijakutokea , hyo biashara ni ya kununua zao fulani kisha unapeleka kwenye chama cha msingi then baada ya muda unalipwa, baba yake ni mwenyekiti wa chama cha msingi so tulitumia account ya baba yake ili ela itoke kwa haraka, na nikweli ilikuwa inatoka kwa haraka , yani tunapata ela kisha tunanunua bidhaa kwa wakulima then tunauza kwenye chama cha msingi. Ndani ya iyo akawa anakarabat nyumbani yao ambayo ilikuwa gofu tu.
Ndiyo maana nikasema huo ni mpango hadi wazazi wake wanaujua kama umepigwa. Kuhusika kwa baba yake hapo, elewa ni wote wamekutapeli
 
Nilikuwa na mpenzi ambaye ninamtoto nae na sasa ana mimba , tuliishi na mpenzi wangu katika ugomvi wa mara kwa mara ila nilijua ni mapenzi ndo yalivyo.

Mi ni mfanyakazi wa selikari niko bize sana.
Nilichukua mkopo na kumkabidhi mpenzi wangu afanyie biashara.
Akachukua zile ela kwenda kukarabati nyumba ya wazazi wake, anadai wazazi wake walimpatia iyo nyumba. Na ela kidogo iliyobaki anafanyia biashara .

Kuna kipindi nilimsaliti na tukasameana ila sasa anadai hakuwa amenisamee ila alikuwa anasubiri jinsi gani ataniumiza .

Sasa anasema tuachane iyo nyumba nifaida ya watoto,

NB: wazazi wake wanajua kuwa nilimpa ela afanyie biashara.
Usiwe boya ww. Kwani gunia la mkaa bei gani huko kwenu kiasi kwamba linakushinda kununua. Najua umenielewa

Ujue amekufanyia makusudi huyo nguchiro na alikuwa anakutafutia tu sababu ya kukupiga chini. Be a man, chukua maamuzi magumu au kama vp mwendee sumbawaga wale jamaa wana mpaka radi za kiangazi
 
Ela ni nyingi na mkopo wa muda mrefu,
Nilipanga tufanye biashara turudishe mkopo then faida ndo aendelee nayo, sasa nikikumbuka makato ya banki ndo naumwa kichwa.
Tukiwaambia watombeni hawa wanawake alafu tupa kule mnatuona sie wajinga haya sasa umepata ulichotaka. Hawa hawapendi ata siku moja wao wanaangalia msereleko tuu upo wapi wa kimaisha.
 
Back
Top Bottom