Mpenzi amenidhurumu pesa zangu.

Mpenzi amenidhurumu pesa zangu.

Nilikuwa na mpenzi ambaye ninamtoto nae na sasa ana mimba , tuliishi na mpenzi wangu katika ugomvi wa mara kwa mara ila nilijua ni mapenzi ndo yalivyo.

Mi ni mfanyakazi wa selikari niko bize sana.
Nilichukua mkopo na kumkabidhi mpenzi wangu afanyie biashara.
Akachukua zile ela kwenda kukarabati nyumba ya wazazi wake, anadai wazazi wake walimpatia iyo nyumba. Na ela kidogo iliyobaki anafanyia biashara .

Kuna kipindi nilimsaliti na tukasameana ila sasa anadai hakuwa amenisamee ila alikuwa anasubiri jinsi gani ataniumiza .

Sasa anasema tuachane iyo nyumba nifaida ya watoto,

NB: wazazi wake wanajua kuwa nilimpa ela afanyie biashara.
Kwenye kuchuma kuna kupoteza pia, move on.
 
Mimi na swali kwako HOW IN FUKIN HELL ulichukua mkopo ukamkabidhi mtu ambae si mke wako? Let alone ni mmekutana ukubwani?

Like seriously man. Ulijiset kufeli tokea mwanzoni. Na haya ndio matokeo
 
Yan kwa mwanamke ambaye kwao unajulikana na kipindi nampa ela nilimpa wazazi wake wakijua. Sio ivyo tu ana mtoto na mimba yangu , na nilipanga faida pia itatumika kulipia mahali kwa wazazi wao mana kishika uchumba tiyar
 
Nooo wazazi wake si sababu. Do you think qki turn on you wazazi wake watakuwa safe net ya mahisiano yenu?
See i get it, she was preg with your kid but ulimuamini haraka sana. Maybe kama angekuwa mke halali.
Ungendeleq kumuhudumia kqma mama mtoto wako but si kumchukulia mkopo. You went too far man

But uli invest at wrong place, wrong person, na ulimuamini haraka.
 
Imeandikwa,
"Tuishi nao kwa Akili"

Mtoa mada umekosa Akili ndio.maana yamekukuta ayo[emoji4]
 
Ok sina akili ila nikwamba mtu anarisk kubeba mimba yako nyingine bado unamtia mashaka juu ya upendo wake, haya ni mapenzi ombea yasikukute sawa.
 
Ata yeye anakili kwa dhambi aliyoifanya astaili kuolewa na mimi,

Kosa kubwa ni kumuamini mwanamke...La pili ni kufanya jambo la maendeleo pamoja na mwanamke..

Leo ana Play victim ili ionekane umemuacha,,,Amini kapata kidume huko anapeleka moto kisawasawa..

Liverpool VPN kila siku anahubiri humu watu msioe,, mnapuuza mnamuona kama Shakira.😀
 
Watu tumeacha nyumba na tukaanza upya mkuu. Songa mbele
 
Usaliti unauma, wewe! Usikie tu kwa mwenzio. Kuna watu hushindwa kabisa kusamehe usaliti. Inaonekna huyo yuko hivyo pia. Hawezi badilika. Fikria mara 2 kabla ya kumsaliti mtu.
Kuna kipindi nilimsaliti na tukasameana ila sasa anadai hakuwa amenisamee ila alikuwa anasubiri jinsi gani ataniumiza .

Sasa anasema tuachane iyo nyumba nifaida ya watoto,
 
Hayo ndio yale unayosikia malipo ni hap hapa duniani
 
Usaliti unauma, wewe! Usikie tu kwa mwenzio. Kuna watu hushindwa kabisa kusamehe usaliti. Inaonekna huyo yuko hivyo pia. Hawezi badilika. Fikria mara 2 kabla ya kumsaliti mtu.
Haikuwa usaliti ni kwamba niliachana nae kwa kutofautiana mambo fulani ika pita kipindi nikapata mtu mwingine, so baadae tukarudiana ndipo akasikia nilikuwa na mtu mwingine yy anadai nilimsaliti.
 
Usikate hata hiyo mimba c yako anapoachana na wewe anaenda kwa mimba yake
 
Sijui ila yy anasema mimba niyakwangu, na ni kweli iyo mimba tulipanga ipatikane na tulijaribu mwezi mmoja nyuma ikashindika akaniletea mwezi mwingine nikapiga ikatiki.
 
Back
Top Bottom