Mpenzi amenidhurumu pesa zangu.

Mpenzi amenidhurumu pesa zangu.

Ndara Mbovu

Senior Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
155
Reaction score
83
Nilikuwa na mpenzi ambaye ninamtoto nae na sasa ana mimba , tuliishi na mpenzi wangu katika ugomvi wa mara kwa mara ila nilijua ni mapenzi ndo yalivyo.

Mi ni mfanyakazi wa selikari niko bize sana.
Nilichukua mkopo na kumkabidhi mpenzi wangu afanyie biashara.
Akachukua zile ela kwenda kukarabati nyumba ya wazazi wake, anadai wazazi wake walimpatia iyo nyumba. Na ela kidogo iliyobaki anafanyia biashara .

Kuna kipindi nilimsaliti na tukasameana ila sasa anadai hakuwa amenisamee ila alikuwa anasubiri jinsi gani ataniumiza .

Sasa anasema tuachane iyo nyumba nifaida ya watoto,

NB: wazazi wake wanajua kuwa nilimpa ela afanyie biashara.
 
ilitakiwa hiyo biashara ufungue wewe yeye akae hapo kama chawa tu

Sasa kwakua umemzalisha Kausha achana nae akapambane na mtaa na sisi huku hatuoi singo maza
Mazingira ya biashara kwao ndo kulikuwa na biashara kwa kuwa wahitaji ni wengi kuliko nilipo.
 
Nilikuwa na mpenzi ambaye ninamtoto nae na sasa ana mimba , tuliishi na mpenzi wangu katika ugomvi wa mara kwa mara ila nilijua ni mapenzi ndo yalivyo.

Mi ni mfanyakazi wa selikari niko bize sana.
Nilichukua mkopo na kumkabidhi mpenzi wangu afanyie biashara.
Akachukua zile ela kwenda kukarabati nyumba ya wazazi wake, anadai wazazi wake walimpatia iyo nyumba.

Kuna kipindi nilimsaliti na tukasameana ila sasa anadai hakuwa amenisamee ila alikuwa anasubiri jinsi gani ataniumiza .

Sasa anasema tuachane iyo nyumba nifaida ya watoto,

NB: wazazi wake wanajua kuwa nilimpa ela afanyie biashara.

Ukisha mpa mpenzi wako hela ujue hiyo imepotea haipo tena!
 
Sasa unakaaje na mtu kama huyo?
Mwache aende salama.
Ipo siku atakuja huku kapiga magoti kipindi hicho ushafunga safina
 
Achana nae usije ukabanwa kengele mkuu

Anza upya mkuu pesa kitu gani...tafuta pesaa!

ilitakiwa hiyo biashara ufungue wewe yeye akae hapo kama chawa tu

Sasa kwakua umemzalisha Kausha achana nae akapambane na mtaa na sisi huku hatuoi singo maza

Sasa unakaaje na mtu kama huyo?
Mwache aende salama.
Ipo siku atakuja huku kapiga magoti kipindi hicho ushafunga safina

Hivi nyie mabaharia mnaujua uchungu wa kila mwisho wa mwezi kuiangalia salary slip yenye makato ya NMB?

Na wewe Ndara Mbovu kwani humu ndani si tulishasema MSIOE?

Hivi lini mtasikia na kuelewa hili....

Msioe MTAKUFA MAPEMA NYIE WATU..

#YNWA
 
machungu ni yale yale NMB, CRDB,AZANIA...Kwani kipindi unakopa hukufikiria kuna makato...3rd LAW OF MOTION itafaa kutoa motivation next tym utakua makini.
 
Nilikuwa na mpenzi ambaye ninamtoto nae na sasa ana mimba , tuliishi na mpenzi wangu katika ugomvi wa mara kwa mara ila nilijua ni mapenzi ndo yalivyo.

Mi ni mfanyakazi wa selikari niko bize sana.
Nilichukua mkopo na kumkabidhi mpenzi wangu afanyie biashara.
Akachukua zile ela kwenda kukarabati nyumba ya wazazi wake, anadai wazazi wake walimpatia iyo nyumba. Na ela kidogo iliyobaki anafanyia biashara .

Kuna kipindi nilimsaliti na tukasameana ila sasa anadai hakuwa amenisamee ila alikuwa anasubiri jinsi gani ataniumiza .

Sasa anasema tuachane iyo nyumba nifaida ya watoto,

NB: wazazi wake wanajua kuwa nilimpa ela afanyie biashara.

Mwache akae na hiyo nyumba na watoto wewe tafuta pesa, utapata nyumba zingine nyingi. Msamaha hauweki kinyongo wala kulipiziana.

Alichokufanyia sio makubaliano ya msamaha ila ni kwamba thamani yako kwake ilishakwisha na ana kisasi kisichoisha

Upendo haulipizi
 
mkuuuu tafuta pesa kwanza kakuzalia unashida gani mkuuu
 
Ela ni nyingi na mkopo wa muda mrefu,
Nilipanga tufanye biashara turudishe mkopo then faida ndo aendelee nayo, sasa nikikumbuka makato ya banki ndo naumwa kichwa.
Hao watoto uliomzalisha utafananisha na mkopo wa Benki? ingekuwa kazalishwa na wenzako ndio ingekuuma.
Tafuta mke mwingine atakua mwema
Tumejengea wanawake na wamezalishwa mwingine nyumba isikutoe roho
 
Hivi nyie mabaharia mnaujua uchungu wa kila mwisho wa mwezi kuiangalia salary slip yenye makato ya NMB?

Na wewe Ndara Mbovu kwani humu ndani si tulishasema MSIOE?

Hivi lini mtasikia na kuelewa hili....

Msioe MTAKUFA MAPEMA NYIE WATU..

#YNWA
Hao watoto wawili angewapataje? Malipo hayo tosha, kuzaa sio mchezo hebu naye Muumba ambebeshe mimba huyo dime halafu ajifungue alinganishe na huo mkopo
 
Safi sana.
Umesema ulimpatia pesa, sasa kakudhulumu vipi? Au ndio kuvurugwa!!

Endeleeni kujidanganya kuwa huwa tunasamehe usaliti wenu, ni mahesabu tu huwa tunapiga ya mbali.
 
Hujadhurumiwa mmewekeza kwa ajili ya watoto. Ila wakati mwingine upendo unatudanganya sana kufikia hadi kuoa.

Pole mkuu karibu ubacherani. Huku tunakula kimasihara tuu, waweza pitia uzi pendwa kupata mbinu
 
Safi sana.
Umesema ulimpatia pesa, sasa kakudhulumu vipi? Au ndio kuvurugwa!!

Endeleeni kujidanganya kuwa huwa tunasamehe usaliti wenu, ni mahesabu tu huwa tunapiga ya mbali.
Sio kwamba nilimsaliti bali kwamba tuliachana na nikawa na mtu mwingine ku buy time, then tukarudiana.
 
Back
Top Bottom