Mpenz namiaka 2 naye anakataakusex na mimi..

msela watoto wa siku hizi huhitaji muda wote huo, huyo anakuzingua tu au wewe ndo hauko serious
piga chini kama vipi
 
..,Nampenz nimekaa nayesasa nimiaka miwili na miez kadhaa lakin sijawah kusex nayehatasiku moja
kila kimchombeza anasema wakati badohujafika..,ananipenda kwel au anazingua?
nampango wakumpiga chini asije akawa anamwingine
mimi kanigeuza wakuuzia.

lia atakuonea huruma
 
miaka miwili kaka hujaona ndani duuuh!!!! kwani unatatizo gan kaka wanawake wapo wengi achana nae chukuwa mwingine tena huyo utampenda zaid. hata kama wanasema kusex sio kipimo cha upendo ndio miaka miwili bila kumjua yupo vipi tena ukizingatia kwenye karne hii ya sasa hivi kaka ninakushauri huyo tupa kule chukuwa mwingine bana alaaaa wanawake wapo weeengi
 
Mimi Girl mwisho wa Kumuomba Game ni three times tu tena Ndani ya One Month only kwani visingizio vyote huisha ndani ya mwezi. zaidi ya hapo Ni Ustaarabu mwingine sio Issue ki vileee... usote miaka miwili duh! Unapo muambia awe Mpenzi wako na Rafiki Sex ni jambo husika pia ale nawe Umle JK Alisema mla nae Huliwa...

Sasa Miaka hiyo Miwili mnacheza Kidari Poo au? kama mnafanya kazi nae Sawa au Mnafanya Biashara nae its Ok. lakini mnakubaliana muwe Wapenzi then mkifika kwenye Sex anakataa.. oi.. Ujue hiyo sio Issue Mtishie kuwa unahitaji sex au Utafute Njia Mbadala lakini urafiki wenu usiishe hadi hapo mtakapo kuja oana...

Au unaweza kuta kila umuombapo yupo kwenye Apollo Anaenda zake Anga za Juu... tumia njia mbali mbali za kuomba Mdinyo jaribu kila weekend... na hata unaweza kumuambia m sex bila ya kuvua kufuri au hata ule mji wa Kagera Katelellellelle... lol
 
..,Nampenz nimekaa nayesasa nimiaka miwili na miez kadhaa lakin sijawah kusex nayehatasiku moja
kila kimchombeza anasema wakati badohujafika..,ananipenda kwel au anazingua?
nampango wakumpiga chini asije akawa anamwingine
mimi kanigeuza wakuuzia.

anakupenda sana huyo isipokuwa anakupima unampenda kweli au unataka umlambe then usepe, vuta subira kaka!
 
Back
Top Bottom