Mpeni ushauri huyu jamaa

Mpeni ushauri huyu jamaa

Mbagala stendi

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2020
Posts
343
Reaction score
407
Habari wadau....

yupo jamaa yangu mmoja kwa sasa kachanganyikiwa kabisa haelewi kitu kwa sasa anahitaji msaada wa kimawazo maana tunaweza mpoteza

anataka kurisiti form six BAM (Basic Applied Mathematics) eti kuna huwezekano wa hilo jambo maana anahisi BAM imemwangusha katika kupata chuo kwa course ya medical doctor.
 
Alienda kuonana na uongozi wa chuo wakamwambia hayo. Mambo au ni bange zake tu kuhisi mambo asiyoyafahamu?!
 
Shida sio bam Apo Wala nn tatizo ni competition ya hyo kitu na vyuo anavyo apply abadili tu coz maana hiyo ktu competition yake sio poa
 
Mm na Mdogo wangu tena binti ana ufaulu wa div 1-9 na hajapata hiyo MD round 2 ndio kapata pharmacy st john atambue tu kwa sasa ufaulu n mkubwa kwa MD 2-10 hawez toboa hata akirisit hiyo BAM
Angeomba na kozi nyngne tatzo mkiwa advance mnaona ukisoma PCB bas wewe n wa kisomea udaktar tukitu ambacho s kweli
 
Hzo kozi competition ni kubwa Sana kwa Tz halaf vyuo vya afya vipo vichache vyenye ubora mzuri
Kama Ni lazima usome MD , Tafuta scholarship ukasome abroad

Germany kusoma chuo ni bure shida ni gharama ndogo ndogo tu
Ingia mtandaoni kagua gharama , kwa vyuo vya public halaf utajua Nini chakufanya

Lakini pia Kama Hilo haliwezekani tafuta kozi nyingne itakayokupa maisha baadae

Halaf kujinyonga na kufanya maamuzi magumu Kama hayo Ni uzembe
Dunia tamu sana
 
Habari wadau....

yupo jamaa yangu mmoja kwa sasa kachanganyikiwa kabisa haelewi kitu kwa sasa anahitaji msaada wa kimawazo maana tunaweza mpoteza

anataka kurisiti form six BAM (Basic Applied Mathematics) eti kuna huwezekano wa hilo jambo maana anahisi BAM imemwangusha katika kupata chuo kwa course ya medical doctor.

Siyo lazima kusomea udaktari.
 
Back
Top Bottom