Mpeni ushauri huyu jamaa

Mpeni ushauri huyu jamaa

Huyo jamaa atakuwa ni ww mwenyewe usimsingizie mtu. Cha kukushauri pambana hakuna lisilowezekana chini ya jua
 
Alipiga PCB kapata div II ya point 10 na pia kakosa chuo.
Mwambie aache upuuzi na akue kiakili. Yani ana II ya 10 kisha anachanganyikiwa kukosa MD au sijaelewa. Watu wana I za 8 wanakosa sembuse yeye. Au unamaanisha kakosa kabisa chuo, kaomba kozi gani.
 
Mwambie aache upuuzi na akue kiakili. Yani ana II ya 10 kisha anachanganyikiwa kukosa MD au sijaelewa. Watu wana I za 8 wanakosa sembuse yeye. Au unamaanisha kakosa kabisa chuo, kaomba kozi gani.
Kapata udsm botanical science lakini hatuna huelewa wa hii course kama vipi aende diploma kwahyo tupo njia panda.
 
Habari wadau....

yupo jamaa yangu mmoja kwa sasa kachanganyikiwa kabisa haelewi kitu kwa sasa anahitaji msaada wa kimawazo maana tunaweza mpoteza

anataka kurisiti form six BAM (Basic Applied Mathematics) eti kuna huwezekano wa hilo jambo maana anahisi BAM imemwangusha katika kupata chuo kwa course ya medical doctor.





Huyo jamaa ni wewe..... My psychology said it
 
Kuna dogo ana 1.8 kakosa MD nimemshauri aangalie kozi nyingine eti anasema atasubiri mwakani hawa madogo bure sana hawajui kua siku hizi kuapta MD uwe na ufaulu wa juu hasa maana division 1 hasa hizi 9.8.7 imekua jambo la kawaida kwa sasa
 
Back
Top Bottom