Wa Kwilondo
JF-Expert Member
- Sep 15, 2007
- 1,081
- 313
Lusindeeee!!! Hivi jamaa ni mbuge?? Dah!!! No coment.
Lusinde is stupid. Atasemaje sumari apewe ubunge ili apate mshahara wakuhudumia familia. Anaenda kwa maswala yake binafsi na sio ya jimbo. Ameniudhi na wengine ambao wazazi wote hatuna na hata uwezo hatuna tukagombee wapi ubunge? Nimekasirika sana let him put his $$$$SSS down.
Labda ndiyo hivyo alivyomwangusha Malecela. Lakini anasahau kuwa Arumeru siyo sawa na Mtera.
Hotuba hii ingefana sana siku ya sikukiu ya R.I.P akili ya Job Lusinde!
I've heard so much nonsense in my life, but they weren't as nonsensible as this.
Hotuba hii ingefana sana siku ya sikukiu ya R.I.P akili ya Job Lusinde!