Huyo ni mbunge kijana je akizeeka si ni uchawi kwenda mbele?
Hebu someni tena hicho kipande kwenye blue. Naona kama kuna hila ya kumhujumy Sioi, au Lucinde anaugua ugonjwa ambao bado haujajulikana!
Nawaomba Wameru Sioyi wasimpe kuraNina masuala na uwezo wa wasimamizi wa kampeni za huyo Sumari. It appears kwamba motive pekee ya huyo bwana kugombea ni kupata mshahara wa kutunzia familia iliyoachwa na baba yake. Ni aibu kusikika kutoka katika midomo ya viongozi wa Chama chenye dhamana ya uongozi wa dola. Maana yake hapa ni kwamba kero za wananchi na uwakilishi wao ni secondary. Kwangu mimi, hiyo inatosha kumnyima kura mtu huyu.
|
| |
|