Mpeni muda Rais Samia Suluhu aipange Serikali yake

Mpeni muda Rais Samia Suluhu aipange Serikali yake

Hii ni awamu ya sita na ni awamu ya Mhe. Samia Suluhu Hassan.

Zama za JIWE zimepitwa na wakati.
Huku ndio kujitoa ufahamu...ni zama za Samia...lakini ajenda ni ya Magufuli. Ajenda ya mama inaanza 2025...
 
"Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025..."
Huo upumbavu hapo juu utawaisha lini nyinyi malimbukeni!!??
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan habanwi kutekeleza ajenda ya marehemu au aliye hai yeyote.
Mh. Rais SSH anatekeleza ajenda yake na maono yake ambayo tunaamini yataileta Tanzania ya kabla ya 2015 na kupiga hatua kubwa sana kimaendeleo katika nyanja zote.
Labda huelewi kwanini mtu anakuwa na mgombea mwenza...
 
Labda huelewi kwanini mtu anakuwa na mgombea mwenza...
Duuuh!!!
Kweli mapenzj upofu.
Urais hauna mwenza zee limbukeni.
Urais hauna kushare.
Urais hauna mkataba na mtu.
Urais hauna wingi.
Mgombea mwenza sio "rais mwenza".
Mgombea wa Urais na mgombea mwenza ni tofauti na uraisi na umakamu wa rais. Urais ni tofauti na umakamu wa rais.
Ugombea urais na ugombea mwenza si "upacha" kusema lazima kuwe na ufanano.
Urais na umakamu rais si upacha kusema lazima kuwe na ufanano.
 
Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).

Tumpe muda wa kujipanga, na kufanya makosa, na kuyasahihisha. Ikumbukwe hata Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpya (ndiye anahusika Sana na teuzi zote za Rais). Shida ni kuwa inawezekana CCM (kama taasisi au vigogo fulani) wanataka watu fulani wakumbukwe. Hili si jipya...la maana isijekuwa wanajaribu kumdhoofisha Rais....hili halikubaliki.
Nawe muache afanye kazi yake bila kuingiliwa nanyi "self-appointed advisors." Naona mnahaha kweli kubaki relevant lakini ushauri wa bure kwenu ni huu: amkeni na kutambua kuwa zama zenu ziliondoka na Magufuli.
 
Huku ndio kujitoa ufahamu...ni zama za Samia...lakini ajenda ni ya Magufuli. Ajenda ya mama inaanza 2025...
Samia ni Rais Kamili wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nenda kasome Katiba ya nchi ujue majukumu ya Rais ni yapi.
Mh. Rais Samia alazimiki kufuata agenda ya mtu yeyote zaidi ya Katiba ya Jamuhuri ya Tanzania.

Hatuna Rais mwingine kwa sasa zaidi ya mama Samia.

Uzuri ni kwamba aliyemchagua Mama Samia kuwa Rais ni Mungu pekee na sio mwanadamu, Hivyo tumwache Rais wetu afanye kile ambacho Mungu kakiweka ndani yake kwa ajili ya Taifa letu
 
Yeye ndio prezoo ajipe mda vyoo uswahilini tundu nidogo! inaonesha hakuwa akishirikishwa kwenye teuzi alipokuwa VP kwahivyo anapania... Ajipange maana kuna tetesi Haji manara kuwa msemaji wa ikuRu wakati tulishaambiwa elimu yake ni ya madrassa turkaabi!!
 
Mzee chutama ustiri hata robo ya heshima uliyobakia nayo mbele ya wapuuzi wenzio.

Ulikua mpiga mbeta kwa mambo ya kipuuzi kwa Magufuli usimtake Samia awe kama huyo mwendazake.

Tulia zama zimebadilika huo u magufuli-Samia haupo naona unajilazimisha sana hii nchi sio ya kifalme au kifamilia kwamba Samia karithi hizo elements zenu za kishenzi.
By all means lazima utakuwa na uhusiano wa karibu na lilejinga!
 
Kumepambazuka au Kumekucha.....
Mama mbona ana kaziii duh 🙄
Hivi shida ni kuchota mkwanja wa walipa kodi au kuna lingine khee
kuna watu hawalali
Yetu mimacho
 
Tatizo ni kuwa nchi yetu haiongozwi kifalme. Hawezi tu kuamka leo akasema nabadilisha hiki na kile nafukuza huyu na yule au nabadilisha huyu na yule. Hata JPM mwenyewe could not do that, licha ya kuwepo serikalini muda mrefu kabla ya kuwa Rais. It simply does not work that way. Hivi ni kweli Rais anajua watumishi wa umma kiasi cha kufanya aamue kila kitu yeye mwenyewe?

Mnatakiwa kujua the reason why Mzee Mkuchika yuko pale, ni kuwa tusiwe na wasiwasi na haya tuliyo na wasiwasi nayo.
 
Back
Top Bottom