Mpeni muda Rais Samia Suluhu aipange Serikali yake

Mwanakijiji,

..tafadhali msimu-undermine Rais Samia Hassan.

..mnaposema anatekeleza malengo ya " magufuli -- samia " ni kama vile hamuukubali Uraisi wa Samia Hassan.

..wakati wa Magufuli tulikuwa tukitamka na kuutambua uongozi wake kama " awamu ya Magufuli ". Hatukuwahi kusema ni " awamu ya Magufuli -- Samia ".

..hata huko nyuma hatukuwahi kusema " awamu ya Nyerere -- Jumbe " , au " awamu ya Mwinyi -- Warioba". Tulisema awamu ya Nyerere, awamu ya Mwinyi,...

..kama nilichoeleza hapo juu ni kweli, basi tumpe heshima zake Rais Samia Suluhu Hassan kama tulivyofanya kwa watangulizi wake.
 
Tuondolee upumbavu wako!!!!
Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).

Tumpe muda wa kujipanga, na kufanya makosa, na kuyasahihisha. Ikumbukwe hata Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpya (ndiye anahusika Sana na teuzi zote za Rais). Shida ni kuwa inawezekana CCM (kama taasisi au vigogo fulani) wanataka watu fulani wakumbukwe. Hili si jipya...la maana isijekuwa wanajaribu kumdhoofisha Rais....hili halikubaliki.
 
Na kweli presha imekuwa kubwa kila kona, au wanadhani mama ni soft kiasi ukimgusa anabonyea, maana hata mjadala wa KIJINSIA nao naona unachukua hatamu, inaonekana anawaruka wakinaMAMA.

Tumpe muda.
 
Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).

Tumpe muda wa kujipanga, na kufanya makosa, na kuyasahihisha. Ikumbukwe hata Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpya (ndiye anahusika Sana na teuzi zote za Rais). Shida ni kuwa inawezekana CCM (kama taasisi au vigogo fulani) wanataka watu fulani wakumbukwe. Hili si jipya...la maana isijekuwa wanajaribu kumdhoofisha Rais....hili halikubaliki.
"Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025..."
Huo upumbavu hapo juu utawaisha lini nyinyi malimbukeni!!??
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan habanwi kutekeleza ajenda ya marehemu au aliye hai yeyote.
Mh. Rais SSH anatekeleza ajenda yake na maono yake ambayo tunaamini yataileta Tanzania ya kabla ya 2015 na kupiga hatua kubwa sana kimaendeleo katika nyanja zote.
 
Mama ana changamoto ya kufanya maamuzi sahihi na ya haraka katikati ya msitu mnene wenye chui wanaotaka kumzingira asiwe na influence kwenye govt yake.

Power struggle within..wahi kabla hujawahiwa,kupunguza nguvu yao..na wenyewe nao wanawaza hivyo hivyo.
MTIHANI!
 
Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).

Tumpe muda wa kujipanga, na kufanya makosa, na kuyasahihisha. Ikumbukwe hata Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpya (ndiye anahusika Sana na teuzi zote za Rais). Shida ni kuwa inawezekana CCM (kama taasisi au vigogo fulani) wanataka watu fulani wakumbukwe. Hili si jipya...la maana isijekuwa wanajaribu kumdhoofisha Rais....hili halikubaliki.
hili lakujaribu kumdhoofisha ndo hatukubali kabisa tutapaza sauti hadi afanikiwe
 
Mama SSH ni Rais wa Sita wa JMT. Kikatiba ana uhuru na maono yake binafsi ktk kutekeleza majukumu yake ya kitaifa huku akiwa analiongoza taifa letu.

Ndiyo! Ni mgeni katika nafasi hiyo nyeti, lkn ana washauri wengi wanaomsaidia kutoka ktk kila nyanja ili aweze kufanya uamuzi ambao anaona ni sahihi kwake na kwa manufaa ya taifa letu. Kama binadamu awaye yeyote yule anaweza akateleza ktk maamuzi yake, lakini ni vyema akawa pia ni mwepesi wa kushaurika na kubadili msimamo wake pale anapobaini kuwa ni kweli amekosea
 
Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).

Tumpe muda wa kujipanga, na kufanya makosa, na kuyasahihisha. Ikumbukwe hata Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpya (ndiye anahusika Sana na teuzi zote za Rais). Shida ni kuwa inawezekana CCM (kama taasisi au vigogo fulani) wanataka watu fulani wakumbukwe. Hili si jipya...la maana isijekuwa wanajaribu kumdhoofisha Rais....hili halikubaliki.
Kuna jamaa akuanzishia uzi kuwa umekimbia jukwaa
 
Mzee chutama ustiri hata robo ya heshima uliyobakia nayo mbele ya wapuuzi wenzio.

Ulikua mpiga mbeta kwa mambo ya kipuuzi kwa Magufuli usimtake Samia awe kama huyo mwendazake.

Tulia zama zimebadilika huo u magufuli-Samia haupo naona unajilazimisha sana hii nchi sio ya kifalme au kifamilia kwamba Samia karithi hizo elements zenu za kishenzi.
Mbona umevimba??
Kilichokufanya uvimbe ni kipi?

Matusi ni matumizi mabya ya akili, kunywa maji bariiidi, halafu njoo uchangie bila jaziba, utaeleweka nakwambia
 
Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la kuipanga Serikali kwa ajili ya ufanisi, weledi, na matokeo chanya (positive outcome).

Tumpe muda wa kujipanga, na kufanya makosa, na kuyasahihisha. Ikumbukwe hata Katibu Mkuu Kiongozi ni Mpya (ndiye anahusika Sana na teuzi zote za Rais). Shida ni kuwa inawezekana CCM (kama taasisi au vigogo fulani) wanataka watu fulani wakumbukwe. Hili si jipya...la maana isijekuwa wanajaribu kumdhoofisha Rais....hili halikubaliki.
Mzee Mwanakijiji sijui utaniambia nini nikuelewe
 
Back
Top Bottom