mwanaume Huwa Hamfananishi Anayemfahamu,Mie Yule Yule Wako Wa Sikuzote Kasoro Majina,uniwekee Ile Picha Niliyokupga Ya Mguu Wa Bia Si Unajua Mguu Wako Tu Unanifanya Nikuone Mpya Kila Marahahha bas umenifananisha ! ujana age hii dogo? afu mbn sikufaham
mwanaume Huwa Hamfananishi Anayemfahamu,Mie Yule Yule Wako Wa Sikuzote Kasoro Majina,uniwekee Ile Picha Niliyokupga Ya Mguu Wa Bia Si Unajua Mguu Wako Tu Unanifanya Nikuone Mpya Kila Mara
Haha kwan kumwagia bao mwanamke nako kunahitaji umwamini kwanza heheheTatizo nyie mabishoo mnachanganya msichana na mwanamke, we baba yako asingemuamini mama yako leo ungeandika huu uzi? come on kama kamekusaliti kasichana kako usifananishe wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa La 7 Sijui Kizungu Hichofield unafanyia wapi?
TastelessHana rangi?
Rafiki nina mpango wa kumpa shemeji zawadi ya vumbi la kongo!Mwanamke kama maji babu.....
Huyo jamaa nadhani hajui alisemalo. Usaliti regardless gender na kafanyiwa nani kwenye mahusiano huwa unauma sana na hata kama ulikuwa humpendi msaliti kivile but ukisikia tu "kaingia banda la uani" lazma uumie. Tena mahusiano ya sasa Mungu kuwa last resort haaa, Mtangulize na yeye akuongoze akue busara na hekima katika yote.anafurahisha genge tu !usiombee usaliti wa mwanaume
Mkuu usigune kwann huwa mnatofanyia hivyomhhh
Mkuu usigune kwann huwa mnatofanyia hivyo
Sasa mkuu utazaaje na mwanamke ambaye haumiamini? si ndo mwanzo wa kutelekeza familia hukoHaha kwan kumwagia bao mwanamke nako kunahitaji umwamini kwanza hehehe
Sent using Jamii Forums mobile app
Water is colorless, mwanamke hapendeki. akipendwa sana tatizo asipopendwa sana pia tatizo.
Water is colorless, mwanamke hapendeki. akipendwa sana tatizo asipopendwa sana pia tatizo.