Mpende mwanamke lakini usimwamini katu!

Mpende mwanamke lakini usimwamini katu!

Tatizo nyie mabishoo mnachanganya msichana na mwanamke, we baba yako asingemuamini mama yako leo ungeandika huu uzi? come on kama kamekusaliti kasichana kako usifananishe wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Baba yako akimwamini sana mkewe ipo siku yatamkuta hata uzeeni. kuzaa haimaanishi anaaminika aliezaa.
 
Mtoa mada uaminifu na mapenzi ni mambo yanayienda sambamba

Huwezi kumpenda mtu bila kupitia stage ya kumuamini

Mbona wapo pia wanaume wanapewa huduma stahiki na wanawake zao na still wanasaliti? Hilo hujaliona sio? Tuache tupumue jamani!

Madame S


anafurahisha genge tu !usiombee usaliti wa mwanaume
 
Suala la Kusalitiwa na kupelekea kujinyonga, kijiua kisa mapenzi kivyovyote linatokana na kumwamini sana mwanamke. Usijaribu kabisa kufanya hivyo.
Mwanamke Haaminiki, anaweza pewa pesa, Mashine kuuchezea vilivyo na kupewa Huduma za kumridhisha lakini bado akakusaliti. Trust non in love affairs.
Kujijengea mazingira ya kutomwamini sana mpenzi wako itakupunguzia kuhamaki na Kuchukua Maamuzi yasiyo na tija pindi Ikitokea kukusaliti.

Sijawahi kumwamini mwanamke katika mahusiano hata ya Huko awali na yeyote sitomwamini japo ninampenda.

Kutomwamini katika lipi sasa mapenzi, mali,au kitu gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom