Mpende akupendaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpende akupendaye

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by SWADO, Jan 19, 2011.

 1. S

  SWADO Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna msemo unasema ' To love is nothing, to be loved is something, to love and to be loved is everything' Ndio maana nimesema mpende akupendae Mapenzi ni kitu cha muhimu sana katika maisha ili uwe na maisha ya furaha siku zote lazima uwe na mapenzi kweli, hizi kesi za Baba katembea na housegirl, mama haouseboy, small house n k. Hazitakuwepo kama tukiwa na mapenzi ya kweli Trust in God, mchana mwema wa JF na mlo mwema ni hayo tu kwa leo.
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mmmh wat love gat to do with ziz?ni wimbo tu,thx 4 msg nzuri
   
 3. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Thanks for ur advice!!
   
 4. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii avatar yako mh!
   
 5. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,135
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Poa meseji nzuri sana ya mchana hii
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Thank you!:smile-big:
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  NIMEUKUTA KULEEEE GLOBAL PUBLISHERS

  "Yule jamaa anayejiita Nabii Tito ameibuka na kioja cha kufungulia mwaka 2011, Risasi Mchanganyiko linaweka mambo hadharani.

  Tito anayehubiri imani yenye ukakasi katika baa mbalimbali za Jiji la Dar es Salaam, hivi karibuni ametoa kijarida (Risasi Mchanganyiko lina nakala) kinachoeleza kuwa ni ruksa kwa akina baba ambao ni waumini wa mahubiri yake ‘kulala' na wafanyakazi wao wa ndani (mahausigeli).

  Katika nukuu za kijarida hicho, Tito anatoa mfano kutoka Kitabu cha Mwanzo cha Biblia kuwa, Mtumishi wa Mungu Abraham alizaa mtoto wa kiume, Ishimaeli (Ismail) na kijakazi wake Ajili.

  Aidha, katika kijarida hicho, Tito anasema kuwa akina baba kuwaacha mahausigeli wao ni dhambi mbele za Mungu na kusisitiza kwamba, lazima wapewe haki yao kama alivyofanya Abraham.

  Kwa mujibu wa watu waliokisoma kijarida hicho anachouza shilingi za Kitanzania 1,000, wamemponda Tito kwa mahubiri hayo kuwa ni ya upotoshaji huku wakitoa tahadhari kwamba akiachwa, anaweza kuiharibu nchi.

  Mwaka jana, Tito aliripotiwa na gazeti hili kutoa kijarida kingine kinachoruhusu watu kunywa pombe na wanaume kuoa mke zaidi ya mmoja.

  Habari hiyo ilieleza kwamba, mahubiri hayo yalilaaniwa vikali na watu wanaomwamini Mungu ambapo gazeti hili lilikipeleka kijarida hicho kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar (wakati huo), William Lukuvi ambaye aliagiza kukamatwa mara moja kwa mtu huyo.

  Cha kushangaza mtu huyo hakukamatwa na badala yake anapeta kwenye mabaa akieneza mahubiri hayo yanayolaaniwa kila kukicha na viongozi wa dini."
   
 8. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Mi naona kama unajichanganya, kama ni suala ni kumpenda akupendaye ina maana housegirl wangu akimpenda bamsapu wangu bamsapu naye ampende na mimi nikimpenda houseboy naye anipende.. sasa hizo kesi zitaishaje sanasana ndio zitazidi, si swala ni kumpenda akupendae...
   
 9. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  mmh love...........love............loveeeeeeeeeeee............evryday loveeeeeeeeeeeeee.........
   
 10. menyidyo

  menyidyo JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 1,339
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tatizo neither of them can be proved! utajuaje umependa, umependwa au mmependana? what if those feelings change?
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mi hata usiponipenda mi nakupenda tuuuu!
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  hapo chacha!
  Hajui mapenzi kizungumkuti.
   
Loading...