Elections 2010 Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema SLAA

Kwa style hii CCM haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani CCM. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na CCM pia wataendelea na utaratibu wao huu.

Something MUST be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama Kenya ili heshima irudi. Yes, I SAID it

You don't know what you are saying; I just hope you are kidding ingawa kuna mambo mengi sana tu ya kufanyia mzaha. Siipendi CCM na njama zake chafu lakini I don't support anyone who advocates violence.
 
baba Fred usife moyo nina imani hata marafiki zako wa ccm(kundi lako la wapiganaji) imewauma sana na hawakubali walichokufanyia, haki yako na wanasegerea mtaipata. Mpasuko CCM utazidi na wengi watakufuata chadema 2015.

NAJIUNGA RASMI NA CHADEMA BAADA YA USHABIKI WA MUDA MREFU
 
lazima damu imwagike kwanza ndio haki ipatikane, vinginevyo hamna kitu mfano mzuri ni zanzibar na kenya
 
AMANI huku kila siku unaibiwa ni Ubwege, mbona wao tukiwashinda injili ya amani wanaisahau
 
slaa anafanya kazi ngapi kwani yeye alikuwa wakala segerea mfa maji haachi......ccmoyeeeeeeeeeeeeeeeee

Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif

Thank you for supporting JF! <---(click to support us)
Waliochangia 2010: <--- (click to read)
<A href="https://www.jamiiforums.com/355625-post4.html" rel=nofollow target=_blank>JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read)
:coffee:
24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com

wakubwa huu ni uhuni ambao hata shetani hawezi kumfanyia mwanandamu.
Mi nadhani kwa vile sisi tuna elimu na upeo na kwa vile tayari wananchi washatusaidia kuchagua sasa ni jukumu letu kuingia mtaani kwa mbinu yeyote na kutumia elimu zetu turudishe jimbo kwa amani. TUWASAIDIE WALE WALIOPIGA KURA NOW KWA KUTUMIA ELIMU ZETU
 
Jamani, bado nazidi kusisitiza mchanganuo kamili wa wizi wa kura wa aina hiyo kwa upande wa rais
na wabunge utolewe ili wananchi waweze kutenganisha pumba na mchele.
 
Katika mkutano wake na waandishi wa habari Dar leo alipoitaka NEC iache kutangaza matokeo yaliyochakachuliwa ya Urais, Willbrod Slaa, alitoboa siri kuwa Mpendazoe alipata ushindi wa kura 56,962 jimboni Segerea. Makongoro Mahanga wa CCM alipata kura 43,904.

Ushahidi wa idadi hizi za kura upo kwenye fomu za matokeo ya kura kutoka vituo vya jimbo hilo. Baada ya usalama kuchakachua matokeo, wakaja na matokeo ya kupika yanayo onesha hivi:

Makongoro Mahanga - 43,839

Fred Mpendazoe - 39,639

Huu ndio wizi wa wazi unaofanywa na CCM halafu wanasema Kikwete na chama chake wanashinda kwa kishindo!

Mara zote CHADEMA kimekuwa ni chama kinachojipambanua na vyama vingine kwa kufanya mambo yake kwa umakini zaidi na kwa kuwa na ushahidi tangible. Katika kila tatizo kuna njia muafaka za kufanya ili kuondoa tatizo hilo. Katika Uchaguzi pia kuna taratibu za kisheria za kufuata kupinga matokeo ya uchaguzi. Ushauri wangu kwa uongozi wa chadema ni kuzifuata hizo taratibu za kufungua kesi juu ya matokeo ya baadhi ya majimbo kama hili la segerea. Sijui sheria inasemaje juu ya matokeo ya Urais?? Lakini kama sikosei Rais akisha apishwa hakuna tena kulalamikia hayo matokeo mahakamani. Katika hili naishauri CHADEMA ifanye kama ilivyofanya kwenye issue ya EPA, walienda kwa wananchi wakauweka ukweli wote wazi na watu waliwaelewa na imeisaidia Chadema katika uchaguzi wa mwaka huu. Hapa pia cha kufanya ni kuchukua copy za matokeo ya kila kituo cha uchaguzi katika majimbo yote ya urais na kulinganisha na jumla inayotolewa na NEC, na kuwaonesha wananchi. Katika hili Chadema isiruhusu JAZBA kuitawala hekima, itakuwa ndio mwisho wake katika medani za siasa TZ, watawala wanatafuta sababu tu ya kuanzia
 
kwa style hii ccm haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani ccm. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na ccm pia wataendelea na utaratibu wao huu.

Something must be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama kenya ili heshima irudi. Yes, i said it

agree kabisa, hapa mpaka tuchapane ili ujinga wa ccm uishe, i hate ccm na wanafiki wake. Hivi kama mtu una akili timamu unampa kikwete kura amefanya nini? Mimi huu nauita unafiki mtupu. Deep down in your heart bwana presidaa unajua kwamba watu hatukupendi period. Matokeao ya uongo na kweli.
 
<p>
Hakuna mahakamani, ni kupoteza muda. Tumabie tu kamanda la kufanya, tuingie mitaani kuiambia dunia kwamba tumeporwa na hatukubali

Kesho segerea tuko mtaani maandamano ya hiari ya wananchi,wanadai hatukumchagua,kashindaje?
 
Kwa style hii CCM haitatoka madarakani. Wananchi mwaka huu walikuwa wameamua kwa dhati kabisa kuing'oa madarakani CCM. Wengi wao mwaka 2015 wanaweza kukataa tamaa kabisa ya kupiga kura na CCM pia wataendelea na utaratibu wao huu.

Something MUST be done....and fast. Kuna haja ya kucharangana mapanga kama Kenya ili heshima irudi. Yes, I SAID it

Mkuu take easy bro, huko wenda mbali.
 
hivi hawa nec nani kawatuma kuharibu nchi yetu watanzania! hatuna chombo cha mahakama haswa linapokuja swala linaloihusu serikali ya ccm tulipaswa watanzania kulinda kura mwanzo mwisho kosa kuimani nec ya majinga yakiongozwa na makame how comes matokeo ya vituoni yasishabihiane na yanayotangazwa nec
 
Suluhu ya yote hayo ni tuwe na Katiba Mpya na Tume Huru, vinginevyo hakuna haki, huenda tunaibiwa haki yetu
 
Huyu ndugu yetu anakiharibu hiki chama na strategies zao which are very cheap.... Atashindwa kuitawala hii nchi sasa....Poor him!
 
mkuu, najua umeudhika sana kama mimi na nimekugongea kasenki hapo juu lakini hapo kwenye nyekundu... Mmm hapana.
Embu imagine panga liangukie kwenye kichwa cha kale ka-last born kako unakokapenda sana na kukimega katikati vpiande viwili.
Just imagine!

hili ndio neno sasa.....kuna watu wanajifanya wanapenda sana vita humu ndani...nahisi wao wako texas na washington, wanatusakizia tuliopo hapahapa bongo.
 
Hivi ni kwanini Kenya wana malewano?Sasa hivi wana uzalendo na nchi yao kuliko itikadi za vyama vyao?
Kwa nini Zanzibar wana maelewano ?Wamepiga kura kwa amani na matokeo yalivyotangazwa bado palikuwa shwari,vyama vyote vilivyoshiriki vilikuwa vinashangilia ushindi wa Wazanzibari. Nakumbuka ni miaka mitatu iliyopita siasa za Kenya zilikuwa na ubabe kama za hapa kwetu kwa sasa.Hata Zanzibar ni miaka mitano tu iliyopita siasa zilikuwa za kibabe.Kilitokea nini huko mpaka wamefanikiwa kwa muda mfupi hivyo?
Kuna haja ya kujifunza kutoka kwao...Baada ya hapo ndo tujiulize je ule msemo amani haiji ila kwa ncha ya upanga ni kweli au si kweli.

Unajua wakati tupo shuleni kama kuna jamaa wanaleteana mambo ya namna gani tulikuwa tunawatuliza tunawaambia waheshimiane,kama wakiendelea tulikuwa tunawaacha wachapane kisawasawa.Wakimaliza kila mtu anamuheshimu mwenzie.
Ila sipendi tufike huko maana nikifikiria watoto,wanawake na wazee naona ni laana kubwa kuwadhuru.
Wito wangu kwa viongozi wote ni kuwa uvumilivu una mwisho,Watanzania wanahali ngumu,kura yao ndio sauti yao pekee.Itafikia mahali hamtaweza kuutuliza umma hata kwa vifaru,itafikia mahali watu watajifunza usniper na kuwavizia mnapokuwa ziarani.Watu watakuwa radhi kufa kwa upanga kuliko kwa njaa.Ogopeni nguvu ya umma mzaa mzaa huu mwishowe hutumbuka usaha..acheni ubinafsi.
 
Mara zote CHADEMA kimekuwa ni chama kinachojipambanua na vyama vingine kwa kufanya mambo yake kwa umakini zaidi na kwa kuwa na ushahidi tangible. Katika kila tatizo kuna njia muafaka za kufanya ili kuondoa tatizo hilo. Katika Uchaguzi pia kuna taratibu za kisheria za kufuata kupinga matokeo ya uchaguzi. Ushauri wangu kwa uongozi wa chadema ni kuzifuata hizo taratibu za kufungua kesi juu ya matokeo ya baadhi ya majimbo kama hili la segerea. Sijui sheria inasemaje juu ya matokeo ya Urais?? Lakini kama sikosei Rais akisha apishwa hakuna tena kulalamikia hayo matokeo mahakamani. Katika hili naishauri CHADEMA ifanye kama ilivyofanya kwenye issue ya EPA, walienda kwa wananchi wakauweka ukweli wote wazi na watu waliwaelewa na imeisaidia Chadema katika uchaguzi wa mwaka huu. Hapa pia cha kufanya ni kuchukua copy za matokeo ya kila kituo cha uchaguzi katika majimbo yote ya urais na kulinganisha na jumla inayotolewa na NEC, na kuwaonesha wananchi. Katika hili Chadema isiruhusu JAZBA kuitawala hekima, itakuwa ndio mwisho wake katika medani za siasa TZ, watawala wanatafuta sababu tu ya kuanzia

kuna sheria ya mafisadi kuwa rais akishaapishwa there is no room to chalenge it in a court of law thats why i think dr slaa has choose to avoid that at presidential level! katika hili la ubunge linawezekana to take court procedure ila from my experience it will take two to three years for an election case to be given a judgement!
 
Back
Top Bottom