Elections 2010 Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema SLAA

huyu slaa, naona uchaguzi umemlewesha!! Si juzi tu katuambia usalama wa taifa huripoti kwake? Imekuaje tena leo anatuambia usalama wa taifa unahusika na uchakachuaji wa kura?

sasa inamaana majimbo walioshinda chadema wamesaidiwa na usalama wa taifa kuchakachua? Na yale walioshinda ccm au vyama vingine pia ni usalama wa taifa wamewasaidia? Jamani mbona hii ni contradiction? Hivi mnamuelewaje dr.slaa?
kama usalama wa taifa wanahusika na kuchakachua kura na kuibeba ccm, basi usalama huho huo wa taifa unahusika kuchakachua kura kwa kuibeba chadema kwani wameibuka washindi ktk majimbo mengi!! Sasa slaa analalamika nini? Si yeye mwenyewe anafanya kazi na usalama wa taifa?

jk anausalama wake wa taifa na slaa pia anawake sasa kama wa jk wamechakachua huenda ujuzi wao ni wa kitaalamu au wa kisayansi zaidi kuliko uchakachuaji wa usalama wa taifa wa dr.slaa!!!!

hiki ni kichekesho!!! Yaaani mwizi analalamika kuwa mwizi mwenzake kaiba zaidi kuliko yeye!!!!!!!!

mtu akifungua comments akakutana na ID yako tayari anajua umeandika nini, jina lako lina haki ya kumpinga dr. Peter Slaa!
 
Umma upi?
Umma ni wanachama wa vyama tofauti vya siasa. Wanaokinzana wakisema wamechoka, itakuwaje?

Tuache kauli za uchochezi. Kuna maisha baada ya uchaguzi.

Kishongo sikuelewi!

Uchochezi upi tuache wakati watu tunazungumzia haki yetu ya Kikatiba imeporwa!!!
Maisha yapi baada ya Uchaguzi wakti waliorudi madarakani ni mafisadi walewale wambao wanafanya MAISHA YETU YAWE YA KUBAHATISHA.
Kishongo huwezi kunishawishi hapo.

Kiwete kweli anachukua nchi LAKINI NI KWA DHULUMA AMBAYO HATA MUNGU HAKUBALIANA NAYO. SIDHANI KAMA ATAMALIZA AWAMU YAKE HII YA MWISHO SALAMA,NATILIA SHAKA SANA URAIS WAKE HUU WA WIZI!

IPO SIKU ATAJUTIA UPUUZI WAKE HUU.
 
Back
Top Bottom