LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Hii si imejadiliwa hapa siku nzima.
hamna jipya magazeti yote hayo yanafanya kazi kwa ajili ya kuwatete akina rachel iko siku watanzania wataelewa ukweli kubusu huu utapeli wa viongozi wa cdm mwanzoni tuliwaamini gafla wamebadilika naamini kabisa hata haya maandamano yanayofanyika watakuwa wamewezeshwa ma kundi la rachel aibu gani hii nyie cdm mlaaniwe kwa kitendo chenu cha kutetea mapacha watatu wMmhu! Tutasikia mengi mwaka huu
ccm is in better shape compared to cdm no doubtNdio ni ushujaaa..... Ni kama kutoka kwenye shimo la choo na kuanza kupata hewa fresh...CCM is terrible rotten!
gazeti la mwananchi mtanzania na tanzania daima
Haya magazeti yote pamoja na uongozi wa cdm wanafanya kazi kubwa sana ya kusafisha mapacha watatu aibu gani hii cdm mnatia aibu
makupa uliingia kwa kasi sana jf ...sijaona started thread/post yako hata moja zaidi ya kuchangia mashuzi kwenye thread zilizoanzishwa .... tafuta consultant aishauri akili yako
naamini kabisa wewd ndio unahitaji kupatamakupa uliingia kwa kasi sana jf ...sijaona started thread/post yako hata moja zaidi ya kuchangia mashuzi kwenye thread zilizoanzishwa .... tafuta consultant aishauri akili yako
Mtorii, naomba akija huko muulize haya: wachagga ni watanzania? pia ni kitu gani hasa kinamkera mpaka awakatae wachagga? hayo tu.