Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,643
- 74,512
Mambo Haya Yanahitaji Umakini Sana Kuna Muda Watu Wakosa Hata Neno La Kusema!
Yaani Hawa Ndiyo Tuseme Miaka Yote Wanauwa Ama Walijiingiza Kwenye Biashara Ya Ujangiri Bila Hodi.
Itapendeza Tukisikia Wakubwa/Wadogo
Waliko Serikalini/Binafsi
Nao Muda Wakamatwe Ili Tujue Vyombo Vinafanya Kazi
Ikumbukwe Ndani Ya Serikali Juzi Mlisikia Mbalari Hakimu Alimhukumu Mtuhumiwa Kwa Kuchagua
Kulipa Faini Ama Kifungo
Tegemeeni Hukumu Za Ajabu Kwa Kesi Hii Na Hata Malkia Wa Ndovu.