''Mpemba'' wa meno ya tembo afikishwa mahakamani

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,055
mpemba1.jpg

mpemba2.jpg

mpemba3.jpg

Mtuhumiwa wa makosa ya kukamatwa na nyara za serikali, Yusuf Ali Yusuf maarufu kama Shehe Mpemba (35) kushoto kwenye picha ambaye alitajwa na Rais John Magufuli kuwa ndiye kinara wa biashara ya meno ya tembo na wenzake Charles Mrutu (37), Benedict Kungwa (40), Jumanne Chima (30), Ahmed Nyagongo (33) na Pius Kulagwa (46) wamefikishwa mahakamani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Thomas Simba na hawakutakiwa kujibu chochote na kesi hiyo imeahirishwa hadi Desemba Mosi, mwaka huu itakapotajwa tena huku watuhumiwa hao wakirudishwa rumande.

Hii ni Hati ya Mashitaka.

kisutu1.jpg

kisutu2.jpg

kisutu3.jpg
 
Na yule mtoto wa mbunge aliyelipa fine ya 130mln baadala ya hukumu kesi yake nae ilikuwaje??!! Na yule mbunge anayehusishwa na bunduki 13 je??!! Lema yupo ndani kwa maneno ya ndoto tu, wabunge wa chama twawala ni siri!! !
 
Splendid...... Splendid!!!!
The C. I. C is sending a message to the rest of the gang!! No nonsense hapa!!!
 
SHEHE-MPEMBA-WA-MENO-YA-TEMBO-8.jpg

SHEHE-MPEMBA-WA-MENO-YA-TEMBO-7.jpg

SHEHE-MPEMBA-WA-MENO-YA-TEMBO-9.jpg

Mtuhumiwa wa makosa ya kukamatwa na nyara za serikali, Yusuf Ali Yusuf maarufu kama Shehe Mpemba (35) kushoto kwenye picha ambaye alitajwa na Rais John Magufuli kuwa ndiye kinara wa biashara ya meno ya tembo na wenzake Charles Mrutu (37), Benedict Kungwa (40), Jumanne Chima (30), Ahmed Nyagongo (33) na Pius Kulagwa (46) wamefikishwa mahakamani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Thomas Simba na hawakutakiwa kujibu chochote na kesi hiyo imeahirishwa hadi Desemba Mosi, mwaka huu itakapotajwa tena huku watuhumiwa hao wakirudishwa rumande.

Hii ni Hati ya Mashitaka.

kisutu1.jpg

kisutu2.jpg

kisutu3.jpg
Mbona kinara kinana haguswi?
 
Duh,ngoja nipite tu kimya kimya maana hata picha zenyewe hazionekani!!
 
kisa cha mpemba ndio kimeishia hapo, mpemba kala tembo wote kulingana na uwezo wake, nashaangaa kuona anajengaaa nyumba za bei ya juu, kuliko rais wetuu.
 
Back
Top Bottom