''Mpemba'' wa meno ya tembo afikishwa mahakamani

''Mpemba'' wa meno ya tembo afikishwa mahakamani

Una uhakika mkuu... Hizo ni shutuma nzito sana usifikiri ukiwa nyuma ya keyboard huwezi kufikiwa.. Watch Out

Nimehifadhi Mali ya wizi nyumbani kwangu,nimelipwa dola 4000 kwa siku tano nitashangaa police mkija kunikamata kwa sababu hayo Mali siyo yangu ila nyumba ni yangu,mkithubutu nitawauliza maswali magumu kumi,mbona ile nyumba iliyohifadhi pembe za ndovu kule Vietnam mbona mwenye nyumba hakukamatwa?@abdul mananasi
Majibu tafadhaliiii
 
Ni makaburi. Hazikutokea wakati wa utawala wake. Kufukua makaburi unaweza kushindwa kuyafukia na yakaendelea kubaki wazi ambayo ni balaa.
Hewa hewa zote siyo makaburi hayo.?
Huyu mpemba kaanza kumaliza tembo since october 25, 2015 au?
 
WANAWAONEA TU,MBONA HAWAFANANI NA UGWIJI HUO UNAOSEMEKANA?, HAWA WATAKUWA NI WACHUUZI WA KITAA WANAOPELEKESHWA NA NJAA ZAO,BUSARA NI KUWABANA HAWA WASAIDIE KUTUTAJIA "HUNTER & DEALERS" / HAWA NAAMINI NI NJAA TU./
*UONGOZI NI PAMOJA NA HEKIMA...
 
Watu waliokuwa wamezoea kufanya biashara haramu katika nchi hii wasome alama za nyakati, utawala huu ni mwingine ambao hauna masihara katika mali za umma, ukikamatwa hakuna tena cha porojo ni mahakamani moja kwa moja
 
Back
Top Bottom