Wewe ndiye huelewi pa1 na kujifanya unaelewa. Umemsikia jpm akisema kikosi cha kuzuia ujangili kilikuwa kikikwamwiswa ktk utendaji wake wa kazi? Sasa nani alikuwa akikikwamisha kikosi hicho, ndiyo utenguzi umeusikia leo.Unajua kazi ya DCI Lakini ?
Yaani aachwe kutumbuliwa Kamanda wa Kikosi cha kuzuia ujangili atumbuliwe DCI.
Mkuu;Sasa imemuondoaje sasa mkuu,hebu jazia nyama hapo ukuelewe? Yaani mpemba kamuondoaje?
Ombeni Sefue hayuko tena kwenye kijiwe.Kijiwe cha kina Ombeni Sefue kinajaa behewa zima!
JPM mwenyewe amesema yupo mtu anazuia operesheni vidi ya ujangili na ameshukuru kutaarifiwa.Weka Wasifu wa Mpemba.Ila nadhani ni kweli DCI alikuwa anazorotesha vita dhidi ya ujangili
Ndhani mantiki ya mleta hoja ni kwamba jalada la kesi kubwa zinazohusu ujangili and the likewise DCI alitakiwa akamilishe upelelezi wake ampelekee DPP kwa hiyo kesi hazianzi labda kwa sababu DCI na vijana wake wanatumia muda mwingi kupeleleza na motto ya Mr Prezidaa ni HAPA KAZI TU+KASI ZAIDI YA KUTUMIKA KWA BUNDLE YA VODACOMUmeweka hekaya na udaku hakuna facts!! Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya jinai kaingiaje? Jibu hoja kwa mifano hai usiwe too general!!
Kama watakua ni hao labda ndio muda wa kupeleka RETURNS badala ya kuzidirect TRA wamehamua kupeleka kwa wananchi directAhaaaa hapa unatuambia jambo jingine pengine bila kufahamu, au umesahau au unachoma utambi
Hawa GSM si ndio wanaoshirikiana na Mkuu mmoja wa mkoa kujenga Hospitali na si ndio wanaosaidia kujenga jengo la dini moja chini ya mkuu huyo?
Au nitakuwa nimechanganya mambo!!!
halafu akiambiwa anakuwa mkaliMimwenyewe nimeshangaa nilichotaka kukisoma sicho
Hah hah hah hah ,Asante kakaSasa kichwa cha habari ni Mpemba halafu ndani ni maoni yako tu
na hiyo habari ya mpemba haipo
na wewe mbona hubadiliki?
Usiwe unaandika mambo unayojua nusunusu. You can keep that to yourself or ur husband or wifeHivi wote hawa hawaielewi hii unayoiita thread yako bado huoni kama Ina walakini? Samahani lakini kwa vile thread ni yako, hata Mimi naungana na wenzangu yaani nimeirudia rudia sijaambua chochote nimeamua [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Nyie ndo hamjaelewa, jamaa katoa had thread inayomwelezea mpemba n nan, ila coz nyie mnakurupuka tu ka mnafukuzwa mnaanza kulaum hamjaelewa.halafu akiambiwa anakuwa mkali
Hivi unajua kazi za DCI kweli wewe ?Wewe ndiye huelewi pa1 na kujifanya unaelewa. Umemsikia jpm akisema kikosi cha kuzuia ujangili kilikuwa kikikwamwiswa ktk utendaji wake wa kazi? Sasa nani alikuwa akikikwamisha kikosi hicho, ndiyo utenguzi umeusikia leo.
Jamaa anashangaa kichwa cha Habari na Habari yenyewe havifananiSasa ulitaka niweke maoni yako?
Kwani wewe umebadilika?
Hii ni thread yangu na nina haki ya kuandika chochote kama sivunji taratibu na sheria za Jamiiforums.
Kama unadhani hakuna lolote unaloweza kuchagia katika maoni yangu, ungesoma na kuondoka tu.
Jamiiforums has no room for dictatorial mentality.
Tatizo la huyo jamaa amejipachika cheo cha usemaji wa Magufuli...so anaweza kusema chochote ilimradi aonekane.. .hii ndio gharama ya Rais kuwa MTU wa uteuzi so kila MTU anatamani kuteuliwaSasa hasira za nini badala ya kuandika kitu kinachoeleweka watu wakuelewe ila unaishia kutaja "mpemba" hoja yako ni ipi?