Mpemba aliyetajwa na rais ni nani?

Mpemba aliyetajwa na rais ni nani?

MTOTELA

Senior Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
159
Reaction score
196
Wakuu naomba kufahamishwa kwa anayejua.
Juzi kati raisi alipotembelea wizara ya mali asili alimtaja mpemba kuwa anahusika na biashara ya pembe za ndovu, huyu Mpemba ni nani kwa anamjua atuambie na sisi tumjue adui huyu wa taifa.
 
WAKUU NAOMBA KUFAHAMISHWA KWA ANAYEJUA. JUZI KATI RAISI ALIPOTEMBELEA WIZARA YA MALI ASILI ALIMTAJA MPEMBA KUWA ANAHUSIKA NA BIASHARA YA PEMBE ZA NDOVU, HUYU MPEMBA NI NANI KWA ANAMJUA ATUAMBIE NA SISI TUMJUE ADUI HUYU WA TAIFA
Nahisi na nina hakika 100% kuwa huyu ni mtu anayetokea/mwenye asili ya Kisiwa cha Pemba. Vere sure.
 
WAKUU NAOMBA KUFAHAMISHWA KWA ANAYEJUA. JUZI KATI RAISI ALIPOTEMBELEA WIZARA YA MALI ASILI ALIMTAJA MPEMBA KUWA ANAHUSIKA NA BIASHARA YA PEMBE ZA NDOVU, HUYU MPEMBA NI NANI KWA ANAMJUA ATUAMBIE NA SISI TUMJUE ADUI HUYU WA TAIFA
maghembe kashasema atatajwa ila tusitaje kwanza uchunguzi unaendelea
 
Mmesahau tuliambiwa wauza madawa wanajulikana lakini hadi leo hawajatajwa. Huyo mpemba yawezekana akawa ndiyo wale tulioambiwa tukiwasumbua matajiri uchumi utayumba
 
Yule aliewai kuwa Mwenyekiti wa Simba SC.
 
Back
Top Bottom