Mpemba aliyetajwa na rais ni nani?

Mpemba aliyetajwa na rais ni nani?

Mi nadhani "Mpemba" ni lugha ya picha tu,
Wapemba wamekaa weupe weupe hivi, wenye asili na muonekano kama wa kiarabu.
Sasa tukianzia hapo tunaweza kupata jibu
 
hawa usalama mnaosema wako fiti kila siku wako wapi? si wawaondoe hawa mapapa kimya kimya maana hadi wenye dhamana wana sanda sisi tufanyaje
 
Back
Top Bottom