mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 690
Kina..yupo kweli? Au?
Wapemba waarabu wengi hawapendi muungano kwa hiyo kaamua kuaangamiza tembo wa Tanganyika? Huyu sio wa kumhurumia ni mhujumu uchumi wa tanganyika ambaye ni RAIA wa nchi ya nje ya Zanzibar ambayo ni nchi kamili kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ya 2010.
Wapemba, Waarabu, Wahindi na Wasomali ndio WATU wa ngeda, PEMBE ZA faru, Meno ya tembo na Wizi wote mkubwa unaotokea nchini, Wadau wote Kunako sirikali wanajua hilo na wengi wanatumiwa kutakatisha pesa haramu, HAYO NI MAJIDUBWASHIKA YA KUTIMUA KAMA ALIVYOFANYA IDI AMIN WARUDI MAKWAO
Tumesha anza kutambuana kwa makabila ???????????Wakuu naomba kufahamishwa kwa anayejua.
Juzi kati raisi alipotembelea wizara ya mali asili alimtaja mpemba kuwa anahusika na biashara ya pembe za ndovu, huyu Mpemba ni nani kwa anamjua atuambie na sisi tumjue adui huyu wa taifa.
Huyo mpemba anaonekana kuwa na nguvu sana hadi rais anaogopa kumtaja. Yale yale ya JK kusema kuwa ninaorodha ya wauza madawa ya kulevya. Yaani rais mwenye maguvu na mikwara yote ya kusema hajaribiwi ameshindwa kumtaja huyo mpemba. Mbona watuhumiwa wengne huwa wanatajwa na uchunguzi ukawa unaendelea?
Wapemba, Waarabu, Wahindi na Wasomali ndio WATU wa ngeda, PEMBE ZA faru, Meno ya tembo na Wizi wote mkubwa unaotokea nchini, Wadau wote Kunako sirikali wanajua hilo na wengi wanatumiwa kutakatisha pesa haramu, HAYO NI MAJIDUBWASHIKA YA KUTIMUA KAMA ALIVYOFANYA IDI AMIN WARUDI MAKWAO
ohoo nimeona ana dhamana teyari
ndo nani watu wako mashariki ya mbali wengine hata tandale hawapafahamuMBONA ANAJULIKANAA..., NI YULE MPEMBA MWENYE DUKA PALE TANDALE.
nilisikia kwenye chambuzi za magazeti kuwa hasanoo kapata dhamanaMkuu, tayari keshapata DHAMANA huyo jangili?!!!
Hii nchi kwishney kabisa!
-Kaveli-
Tumepata maana mpya ya jangili ni Mpenba so kuanzia leo mtu anayeua tembo ni Mpemba atakayekamatwa na Pembe za ndovu ni Mpemba.
nilisikia kwenye chambuzi za magazeti kuwa hasanoo kapata dhamana
Mkuu, tayari keshapata DHAMANA huyo jangili?!!!
Hii nchi kwishney kabisa!
-Kaveli-
Itakua nao walilipa fine kma ilivyotokea hivi juzi huko Mbeya ,MbaraliHii kesi ya Padri aliyekamatwa ilimalizikia vipi ???
PADRI AKAMATWA KWA UJANGILI HUKU BUNDUKI 48, RISASI 764 ZIKIKAMATWA
![]()
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili.
Na Daniel Mbega, Namanyere
PADRI wa Kanisa Katoliki Jimbo la Sumbawanga (jina linahifadhiwa) ni miongoni mwa watu 50 waliokamatwa kwa ujangili na Kikosi Kazi cha Taifa katika Pori la Akiba la Lwafi wilayani Nkasi katika Mkoa wa Rukwa.
Padri aliyekamatwa ni wa Parokia ya Kirando katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, ambaye bunduki yake aina ya Rifle yenye darubini inadaiwa kutumika katika ujangili ndani pori hilo la Lwafi wilayani humo.
Taarifa za kipolisi zimeeleza kwamba, mbali ya kukamatwa kwa watu hao, pia jeshi hilo limekamata bunduki 48 za aina mbalimbali ikiwemo ya Padri huyo anayoimiliki kihalali, pamoja na risasi 764 na maganda ya risasi 101.
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, Jacob Mwaruanda amesema kuwa baadhi ya waliokamatwa silaha zao wanazimiliki kihalali lakini zinatumika kinyume na utaratibu wa kumilikishwa kwao.
"Watu hawa bado wanahojiwa na upelelezi utakapokamilika watafikishwa mahakamani ili sheria ichukue mkondo wake," alisema Kamanda Mwaruanda.
Kamanda Mwaruanda alisema kati ya bunduki 48 imo moja ya kivita aina ya AK47, bunduki 8 aina ya Rifle na risasi zake 83, Shortgun 19 na risasi zake 138, bastola 5 na risasi zake 133, magobore 15, magazine nne za bunduki aina ya Sub-Machine Gun, maganda matano ya bunduki aina ya Rifle, maganda 96 ya risasi za bunduki ya shortgun pamoja na vifaa vya kutengenezea bunduki za kienyeji na mitutu sita.
Watuhumiwa hao walikamatwa pia na nyara za serikali ambazo ni mikia sita ya tembo, nyama ya nyati kilo 20, miba ya nungunungu, ngozi moja ya paka-pori na pembe ya Nshya.
![]()
Kamanda Mwaruanda akifafanua jambo huku nyuma yake wanaonekana maofisa wa Kikosi Kazi cha Taifa pamoja na askari wa wanyamapori.
Kama Mwaruanda alitoa muda wa mwezi mmoja kuanzia sasa kwamba watu wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kuzisalimisha mara moja kwenye vituo vya polisi au ofisi za serikali za vijiji kabla operesheni kabambe ya kuwatafuta watu hao haijaanza.
Rukwa na Katavi ni miongoni mwa maeneo ambayo ujangili kuua tembo umeshamiri sana hasa katika mapori ya akiba ya Lwafi na Hifadhi ya Taifa ya Katavi kutokana meno ya tembo kuonekana kuwa na soko katika mikoa mingine nchini na nchi jirani.
![]()
Kamanda Mwaruanda akionyesha kigudulia ambacho hutumiwa na majangili kubebea risasi.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Ulinzi katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi, Davies Mushi alinukuliwa hivi karibuni kuwa kuwepo kwa soko zuri la biashara haramu ya nyara za Serikali hususan meno ya tembo ni moja ya sababu zinazochangia ongezeko la ujangili katika hifadhi hizo.
"Soko zuri la meno ya tembo lililopo katika mji wa Mpanda (Katavi), Sumbawanga (Rukwa), Tabora na maeneo mengine ya nchi linachangia sana kushamiri kwa ujangili ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Katavi, lakini tunajitahidi kufanya doria ndani ya hifadhi na kukabiliana na kasi hii iliyopo ya kuua tembo inayofanywa na majangili ambao wengi wao ni kutoka nje ya nchi," alisema Mushi.