Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,578
- 4,819
Hii itakuwa battle ngumu...za shingo tena
haha OGOPAAAAA
Hii itakuwa battle ngumu...za shingo tena
haha OGOPAAAAA
ww siuna sime sisi tuna bakoraHii itakuwa battle ngumu...
Bakora? kuna pambano ushaona wanatoka na bakora mkuu?ww siuna sime sisi tuna bakora
Kwani bakora na fimbo nitofauti mkuu?mengi tuuuh,Ila ogopa bakora mkuu bora fimbo
hahaha!gugo hapo mkuu bakora Zina namna yake tofauti na fimboKwani bakora na fimbo nitofauti mkuu?
Kuna teacher wa hisabati la standard 4 alikuwa anapenda sana kuita bakora, anachapa ile mbaya...hahaha!gugo hapo mkuu bakora Zina namna yake tofauti na fimbo
wenyewe tunakwambia "ntakutia bakora"
kumbe Sasa umeanza kuelewa bakora ni Nini!?Kuna teacher wa hisabati la standard 4 alikuwa anapenda sana kuita bakora, anachapa ile mbaya...
chini ya... hapo anaanda bakooooraaa za kutosha!
Nimeisoma google ni ile fimbo ya kutembele, duh kama ile lazima unyoshe maelezo mkuu...kumbe Sasa umeanza kuelewa bakora ni Nini!?
Hata picha asione? StagedView attachment 3699513
Naomba mpe ushauri huyu dada!