Mpe maneno kadhaa yule mtu ambaye unajua huwezi kuwa naye kimapenzi!

Baraka zangu hamnazo wala
😀😀😀😀😀 yaani si mchezo, Luna mshkaji wangu mmoja wakati tupo chuo alipataga binti flan hivi. Sasa anamsaundishaaaaaa, anakaa sawa. Kesho akisema aendeleze kidogo, binti anacharuka mtongozo wote wa Jana kausahau, inabidi mshkaji aanze upyaaaa. Hahahahahahaha

Ngoma ilikwenda hivyo for two weeks mwisho mshkaji akaona hebu huko. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
yaani si mchezo, Luna mshkaji wangu mmoja wakati tupo chuo alipataga binti flan hivi. Sasa anamsaundishaaaaaa, anakaa sawa. Kesho akisema aendeleze kidogo, binti anacharuka mtongozo wote wa Jana kausahau, inabidi mshkaji aanze upyaaaa. Hahahahahahaha

Ngoma ilikwenda hivyo for two weeks mwisho mshkaji akaona hebu huko.
huyo jamaa yako inaonekana alikuwa anatongoza watu wawili. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anasema kutongoza demu mwenye kaka tabu sana maana unajikuta unamtongoza yeye na unatakiwa umtongoze na kaka yake pia
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom