

Sidiria za kixhina hizo! Taabu tupu! Usishangae hapo nyonyo ikitolewa sidiriani ukakuta iko kama ndala za Guest House🙂
hahahaaaaaaaaaaaaaaaa,kazi ipo rejeta zao zitakuwa mbovu eti...Anaipooza imechemka!!!!!!!!!
Raha kwako kilio kwa mwenzio. Ungejua ni kwa kiasi gani anataabika ili kuitunza flat screen, ungemhurumia. Ndo maana kwa dada zetu utasikia ngoja na mimi nijichane mwisho vitambi kama amefungia mpiraYani tumbo kama flat screen hadi raha