Kubadilishana portal

Kubadilishana portal

Hamisi039

Senior Member
Joined
Aug 23, 2026
Posts
103
Reaction score
2
KARIBU KWENYE MFUMO WA KUMPATA MTU WA KUBADILISHANA VITUO KWA URAHISI.

1. Unasajili na unaweka kituo ulichopo kwa sasa
2. unaweka mikoa na wilaya zaidi ya moja unayotaka kwenda
3. unaweka masomo yako
4. baada ya usajili kukamilika ukaingia kwenye mfumo utawaona watu wote kutoka mikoa mingine wanaofanana na wewe somo moja au yote wanaotaka kuja mkoa au wilaya uliyopo.
5. Mfumo uko vizuri sana watu wote unawaona namba za watsap na kawaida ziko pale.

• Jisajili sasa kwenye mfumo wetu wa Kubadilishana 👉 Kubadilishana Portal — Tafuta Mwenye Kubadilishana Nawe Tanzania

Mfumo unakuunganisha moja kwa moja na watumishi wa idara yako wanaotaka kuja mkoa wako, na unakujulisha kwa notification mtu akipatikana. Jisajili leo, baadaye utatushukuru!
 
hii kitu ya kuhamia kituo kingine cha kazi si ipo kwenye ESS
 
Hapa inaconnect tu , watu wa kubadilishana nao kirahisi mtu ukimpata ndo unaenda ess ya utumishi ya serikali kubadilishana naye , hii haikuhamishi ni inaconnect tu na rahisi kumpata kuliko kupost humu, au Facebook au whatssap ya tangazo lako la kubadilishana vituo vya kazi
 
Back
Top Bottom