Mpasuo wako unaweka Pini za nini sasa

Mpasuo wako unaweka Pini za nini sasa

nanjilinji


Viol hii nayo sijui tutaitaje sasa tumboo tafadhali tusaidie.....
g.jpg
 
mmmmh!itakuwa ngumu kumesa hii
Kuna jirani yetu na mke wake mwenye bonge la kitambi wanaishi huko kwenu Bongo akija huku huvaa vinguo vinavyobana. Jamani ni vichekesho. Siku akija nitaomba simu yenye camera ili niweke picha yake.
 
Hata mimi kuna misamiati nimeongeza kwenye post hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom