habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Nkurunzinza mmemuapisha Jana tumbili ninyiMbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh, mkuu wacha nimalize kasupu ka kongoro nisikatapke kwa kicheko
MKUU ASANTE.kwa majibu nilikuwa nawaza hivo hivoMkuu kasheshe lilikuwa juu sana
Tunashukuru kwa taarifa mke wa MboweMPendazoe yupo sahihi cdm imekufa kitambo imeshapigwa mnada longtime na mbowe
Duh, Ndio maana! Unajua nilikua najiuliza maswali mengi sana, Hivi mtu Na akili Zako timamu naanzaje Kua Kada wa CCM! Kumbe Ni maslahi.. DohMkuu kwa wanaochapisha hivyo vipeperushi vya lumumba wao huwa wanapewa bure
Mbuyu ulianza kama mchicha, napita tu.Mpendazoe ndiyo alete mpasuko chadema hiki ni kituko cha mwaka ilibaki kidogo kilingane na hadithi ya jecha
Hivi mpendazoe unaweza kumlinganisha na zitto kabwe au shibudaMbuyu ulianza kama mchicha, napita tu.
Mkuu hiyo ndio siri iliyopo,chukua chako mapema, ( ccm )Duh, Ndio maana! Unajua nilikua najiuliza maswali mengi sana, Hivi mtu Na akili Zako timamu naanzaje Kua Kada wa CCM! Kumbe Ni maslahi.. Doh
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu umenivunja mbavu zanguNkurunzinza mmemuapisha Jana tumbili ninyi
Aisee mkuu kama tulipanga yaani hata mimi ndio nimegonga hiyo kitu,pamoja sana mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Me namalizia mihogo Na maji ya rangi
Mimi siwezi kununua huo utumbo wao hata kama ela nimeiokota bora nikawape kina matonya dodomaGazeti la
Mkakati
Uhuru
Raia Tanzania
Habari leo
Mzalendo
Matapeli wa CCM, wasipoandika kuhusu Chadema minyoo zinaongezeka ni mwendo wa kujikuna tu
Ha a ha ha haaaaa!!! Mbowe tena!!! Kama Nkurunzinza??( kwa sauti ya Joti Huku akitabasamu Na kuvuta suruali Yake vizuri)Mbowe ni Nkurunzinza......vikao vya chama haviweki wazi mapato na matumizi ya chama yanafanyikaje.....Mpendazoe yupo sahihi na ni vigumu kwa wafuasi wa Lowassa ( New CDM) kuelewa hili.