The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Watanzania mkiwapa ccm ushindi kirahisi tu watafanya yale yale, mnatakiwa kuwabana ili hata wakishinda wajue kuwa hamkutaka washinde.
It's a "two-way attack" bwana, wewe huoni attacks toka kwa wana UKAWA wa mtandaoni?
Watu wanamatumaini ?......watakapoambiwa mgombea wao ameambulia chini ya 40% macho yatawatoka, mtatoa povu, mtaandika ila itakuwa historia......na mtanyooka.Hivi mbona hamtaki kuelewa, ngoja nikuambie kutu.
Hata wewe na akiliyako hiyohiyi uliokuwanayo ungegombea urais kupitia Ukawa tungekuchagua tunataka kuondoa system inayo fanya kazi kwa mazoeya that's all.
Hata Mboe na Mtei wakihama hatutarudi nyuma.
Maamuzi ya mabadiliko yana fanywa na wananchi weyewe na sio kwasababu ya mtu flani.
You need to know it!.
Kwanini chadema hawapendi ukweli? na hapo ndo mm huwa siwaamini, kimsingi chadema wanampasuko mkubwa sana, sasa hawa viheleele wa JF muda wote wanachojua wao ni kusema hapana, huo mm huwa naufananisha na ugonjwa wa degedege, Lowasa kimsingi amefeli kuibomoa ccm kwa plani yake ya awali na angefanikiwa mambo yake yangemwendea vizuri, wengi hawaelewi hilo, kwani muda wote wao ni hapana2, Lowasa alitegemea mafuriko kutoka ccm, na ndo maana alisema kabla kwamba ushindi ni asubuhi.
Baada ya kushindwa kuibomoa ccm ile lugha yake ya kushinda asbuhi haisemi sasa, hicho nacho hamukisikii jamani? Lowasa kajikuta mafuriko ni mizigo wenzake ambao kimsingi hawana ushawishi kwa watu, mfano Masha, huyu masha alipigwa chini na wenje na juhudi kubwa alizofanya wakati huo ili atangazwe kuwa yy ndo mshindi, safari hii alikwenda Sengerema nako kapigwa na Ngereja-sasa kaibukia UKAWA.Mgeja pia hana ushawishi Shinyanga, Msindai ndo kabisaa, Dr.Makongoro Mahanga, hayo ndo mafuriko ya Lowasa kupata ushindi, wakaona hali imekuwa mbaya sana, imebidi abembelezwe Sumaye pamoja na tofauti zao za muda mrefu labda anaweza kusaidia ukiweka na kaukanda kao kakishikaji, bado Sumaye kaonekana alikuwa anaitwa Mr.0 maana yake katika mawaziri wakuu wa tz yy ndo alikuwa mzigo. kimsingi hali si shwari ndani ya umoja huo.
Wanachotakiwa kujifunza CCM ni kuwa uimara wetu hautokani na uimara wa CDM na UKAWA,badi unatokana na udhaifu wa CCM.
kama alishindwa kutikisa slaa, mnyika atawezaaaa???
Baada ya Dr. Slaa kuleta sintofahamu kubwa kwenye UkIwa/Chadema na fisadi wao papa Lowassa, sasa katika kipindi cha wiki mbili kutatokea 'exodus' kubwa kama ile aliyoimba hayati Bob Marley.
Wanaotajwa kusumbuliwa sana na nafsi zao kama Dr. Slaa ni John Mnyika pamoja na Mabere Marando. UKAWA walisubirie hili pigo kubwa ambalo liko njiani.
Yaani waondoke wote katika UKAWA lakini mimi na familiya yangu tutabaki UKAWA.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA !!!