Mind you that there is life after general election ,unafikiri kutakua na harufu gani upande wa UKAWA once CCM wakinyakua ushindi?
Marando ni insider
mwana kitengo....Mnyika siku zote ana misimamo yake
Na kweli mlishaHAMUA. Wewe na nani? Yaani mtu ukishakuwa msukule wa Gwajima Medulla Oblongata inakata. So sad!Tulisha hamua....tunasonga mbele. Nyie wanunueni ndo mtajua wapiga kura ni sisi na wala sii mnyika wala dr blaa blaa na huyo marando unaemtaja. Hata mboe akichapa lapa maamuzi yapo kwetu watz . Bora nec ishampitisha lowasa basi. Tutasonga mbele.
Na kweli mlishaHAMUA. Wewe na nani? Yaani mtu ukishakuwa msukule wa Gwajima Medulla Oblongata inakata. So sad!
Baada ya Dr. Slaa kuleta sintofahamu kubwa kwenye UkIwa/Chadema na fisadi wao papa Lowassa, sasa katika kipindi cha wiki mbili kutatokea 'exodus' kubwa kama ile aliyoimba hayati Bob Marley.
Wanaotajwa kusumbuliwa sana na nafsi zao kama Dr. Slaa ni John Mnyika pamoja na Mabere Marando. UKAWA walisubirie hili pigo kubwa ambalo liko njiani.
Lipumba - Tshs. 3,000,000,000/=Baada ya Dr. Slaa kuleta sintofahamu kubwa kwenye UkIwa/Chadema na fisadi wao papa Lowassa, sasa katika kipindi cha wiki mbili kutatokea 'exodus' kubwa kama ile aliyoimba hayati Bob Marley.
Wanaotajwa kusumbuliwa sana na nafsi zao kama Dr. Slaa ni John Mnyika pamoja na Mabere Marando. UKAWA walisubirie hili pigo kubwa ambalo liko njiani.
Mabere Marando ameshiriki kwa kina kutengeza CHADEMA na kuifikisha hapo ilipo, hivyo kuondoka kwake (kama ni kweli anaondoka) si tatizo kwani hana chake tena, si amemaliza kazi yake?
Ila kama kweli John Mnyika ataondoka, basi atazidi kukamilisha ile orodha ndefu ya wasaliti maana ni ndefu.
Kumbe Marando hana thamani tena ndani ya Chadema...
Kumbe Chadema imejaa wasaliti...
Unanifungua macho mie
Tena Marando ndie anajiharibia zaidi "credibility" yake ukizingatia historia yake.
Au unataka kuamini kwamba hana historia?
Pitiapitia utafahamu.
Umbea wa Lumumba kama wanawake kizaram
Baada ya Dr. Slaa kuleta sintofahamu kubwa kwenye UkIwa/Chadema na fisadi wao papa Lowassa, sasa katika kipindi cha wiki mbili kutatokea 'exodus' kubwa kama ile aliyoimba hayati Bob Marley.
Wanaotajwa kusumbuliwa sana na nafsi zao kama Dr. Slaa ni John Mnyika pamoja na Mabere Marando. UKAWA walisubirie hili pigo kubwa ambalo liko njiani.
Bahati mbaya mimi hilo neno la Lumumba ndio nasikia wewe walitaja.
Halafu kijana jaribu kuchunga maneno unayotamka.
Tumia lugha ya kiungwana huitaji kununua heshima.
Watu wazima mmekalia majungu tuuu