danhosnoop
JF-Expert Member
- Oct 21, 2014
- 2,721
- 10,528
Mimi leo nlikuepo kwenye mkutano wa lowassa jimboni kwangu kibamba, mafuriko na hamasa nliyoiona pale sikuamini macho yangu...hakika watu wameichoka ccm, na sidhan kama kuna wa kuzuia wimbi hili la mabadiliko, sio dr cassava wala lipumba