Mpasuko mkubwa mwingine waja UKAWA/ CHADEMA

Mpasuko mkubwa mwingine waja UKAWA/ CHADEMA

Ni kweli, tatizo vijana wa chadema hawataki kuambiwa ukweli.
 
hivi kuna mpasuko.?? naona kama huyu slaa hana mvuto wowote wala hajatikisa ndo kwanzaaa ametutia mori wa kulala vituoni kusubiri kuwapa ukawa kura
 
Baada ya Dr. Slaa kuleta sintofahamu kubwa kwenye UkIwa/Chadema na fisadi wao papa Lowassa, sasa katika kipindi cha wiki mbili kutatokea 'exodus' kubwa kama ile aliyoimba hayati Bob Marley. Wanaotajwa kusumbuliwa sana na nafsi zao kama Dr. Slaa ni John Mnyika pamoja na Mabere Marando. UKAWA walisubirie hili pigo kubwa ambalo liko njiani.

Sawa lakini waambie hao jamaa zako walipe kwanza mafao ya wazee wetu, wanataabika sana aisee! Waambie waache ulaghai wa kisiasa, walipe wazee wetu.
 
Baada ya Dr. Slaa kuleta sintofahamu kubwa kwenye UkIwa/Chadema na fisadi wao papa Lowassa, sasa katika kipindi cha wiki mbili kutatokea 'exodus' kubwa kama ile aliyoimba hayati Bob Marley. Wanaotajwa kusumbuliwa sana na nafsi zao kama Dr. Slaa ni John Mnyika pamoja na Mabere Marando. UKAWA walisubirie hili pigo kubwa ambalo liko njiani.

Mpasuko:what: kwani kuna mpasuko umewahi kutokea chadema/ ukawa:what: na kama ni slaa mbona hakuna mpasuko aliouleta:what: yeye kajipasua mwenyewe mpaka anaona aibu tuanasonga mbele, mafuriko kila kukicha na Lowassa ndiye rais wa 5 Tanzania, piiiiiiiipooooozzzz...
 
Mimi sina chama...hata hao ukawa wakikosea nitaongea pia! Hivyo don't attack me personally!

Ila nakerwa na wana-ccm wa mitandaoni ambao kutwa kucha badala ya kusaidia kampeni kueneza sera za chama chao wanakaa kusema ya Lowassa na ukawa...nahisi ni kama mnawapiga kick!

It's a "two-way attack" bwana, wewe huoni attacks toka kwa wana UKAWA wa mtandaoni?
 
Kwanini chadema hawapendi ukweli? na hapo ndo mm huwa siwaamini, kimsingi chadema wanampasuko mkubwa sana, sasa hawa viheleele wa JF muda wote wanachojua wao ni kusema hapana, huo mm huwa naufananisha na ugonjwa wa degedege, Lowasa kimsingi amefeli kuibomoa ccm kwa plani yake ya awali na angefanikiwa mambo yake yangemwendea vizuri, wengi hawaelewi hilo, kwani muda wote wao ni hapana2, Lowasa alitegemea mafuriko kutoka ccm, na ndo maana alisema kabla kwamba ushindi ni asubuhi.

Baada ya kushindwa kuibomoa ccm ile lugha yake ya kushinda asbuhi haisemi sasa, hicho nacho hamukisikii jamani? Lowasa kajikuta mafuriko ni mizigo wenzake ambao kimsingi hawana ushawishi kwa watu, mfano Masha, huyu masha alipigwa chini na wenje na juhudi kubwa alizofanya wakati huo ili atangazwe kuwa yy ndo mshindi, safari hii alikwenda Sengerema nako kapigwa na Ngereja-sasa kaibukia UKAWA.Mgeja pia hana ushawishi Shinyanga, Msindai ndo kabisaa, Dr.Makongoro Mahanga, hayo ndo mafuriko ya Lowasa kupata ushindi, wakaona hali imekuwa mbaya sana, imebidi abembelezwe Sumaye pamoja na tofauti zao za muda mrefu labda anaweza kusaidia ukiweka na kaukanda kao kakishikaji, bado Sumaye kaonekana alikuwa anaitwa Mr.0 maana yake katika mawaziri wakuu wa tz yy ndo alikuwa mzigo. kimsingi hali si shwari ndani ya umoja huo.

kuna kitu hamkijui, watu wamechoshwa na chama dola....mie ni bora nisipige kura kuliko kumchagua mgombea toka fisiemu.....
 
Tatizo la ukawa ni wanafiki sana, leo watasema hili keso wanageukana na kusema wasaliti, sasa sisi wanainchi hatupaswi kusukumwasukumwa kama mizoga.
 
Unaitishia nyau CHADEMA chini ya UKAWA chama ambacho kimeshavuka viunzi na viunzi.
 
Vijana wa Fisadi Kikwete kuleni tu huo mshahara wake wa million 400 huku akiulizwa ana kwa mbia hajui kwa nini wananchi ake ni maskini mumeomba mpasuko weee mpaka mumekauka makoo lakini chadema inasonga mbele, Dr Slaa bunduki ya maji keshajifia anapangawiwa hata muda wa kwenda chooni na TISS, akifundishwa kitu cha kusema ssukari inakula ubongo wak anaenda kuropoka na kusema mengine mumeliwa mwaka huu mabadilikooooooooooooooooooooooo,lowassa tunasonga mbele
 
Kuichaguwa ukawa na chadema niswa na kuharibu kura yako bure kwani ukweli nikwamba aliye wekwa nafasi ya uraisi ndani ya ukawa HAFAI kabisa na kamwe hatokuwa Raisi wa tanzania, mafua ya chadema yana wafanya kutowa uwamuzi wa kijinga sana na hii nafasi wameichezea na hawataipata tena mara100 ichukuwe chama kingine ila kwa sasa bado ccm ni viongozi na pia Raisi mtarajiwa anatoka ndani ya chama hicho.
 
yani acha mnyika na marando hata waondoke wote mi kwangu sawa ila jambo jema ni lowassa tu
 
Ahahhaaaa hiki sio chama ila nigenge la mafisadi papa wamejikusanya pamoja ngoja tuone mwisho wao
 
Wakapimwe akili wanaopinga hoja hyo kusoma hamjui hata picha pia hamuwezi kufananisha? yuko wapi Mnyika mbona kimya kingi kulikoni kama hajausoma upepo nakujiona atajishushia heshima kama Mbowe?
 
chadema kuna aliyekuwa mkubwa kuliko slaa? na katoka katuacha bila kutetereka, siye na lowassa wetu tu.
 
Lowassa hata akibaki mwenyewe CHADEMA tutampigia kura tu kwa hiyo hiyo mipasuko bado sio issue
 
Back
Top Bottom