Tatizo mnajifanya nyie ni kina "kj".....
mnyika akitoka hamjui majimbo mawili mshayakosa?
ama hamjui la ubungo mshalikosa tayari?
Tatizo la Maccm ni kuwa, baada ya kufilisika kisiasa, baada ya kuona kweli sasa hayapendwi yameingia kuchafua amani kwa kupandikiza chuki wazi wazi kati ya wananchi.
Hizo ndizo siasa mufilisi. Mkiisha pandikiza migogoro katika vyama vingine, hao wanachama wenu wanawatosha?? Si hao hao mnaowafitinisha ndo watakuja kuwa wanachama wenu?? Yaani kweli "Wapumbavu" ndio sasa wanajidhihirisha. Waswahili wanasemaga; Ukipanda bangi, huwezi kuvuna mchicha. Mnapanda uchokozi mmtauvuna uchokozi tuuu.
Kama kwa miaka 54+ mlijichimbia katika kuwaibia wananchi, mnategemea kujisafisha kwa hizi siku 48 zilizobakia?? Bado mpaka sasa mnaendelea kutoa ahadi?? Chama tawala miaka yoote hiyo bado hamna uwezo wa kusema tulifanya nini?? Bado mnaomba mtupe tena ahadi hewa za miaka 5 mingine ati mmepata tingatinga??? Kweli, ukistaajabu ya Musa, njoo uone ya Magufuli. Hilo tingatinga mmelileta kutoka sayari gani??? Mh. JK, leta tena kamusi mpya ya ahadi hewa. Hii, mhhhh. Imebuma. CCM ishakufia mikononi. Hapa, hutokiiiii
Hivi umekaa kabisa ukatafakari na kumuona EL ikulu? Labda huko Monduli, mkamjengee state house, lakini pia mnaitwa kuchangia kampeni za UKAWA.. pesa imekata!!
Baada ya Dr. Slaa kuleta sintofahamu kubwa kwenye UkIwa/Chadema na fisadi wao papa Lowassa, sasa katika kipindi cha wiki mbili kutatokea 'exodus' kubwa kama ile aliyoimba hayati Bob Marley. Wanaotajwa kusumbuliwa sana na nafsi zao kama Dr. Slaa ni John Mnyika pamoja na Mabere Marando. UKAWA walisubirie hili pigo kubwa ambalo liko njiani.

Tulisha hamua....tunasonga mbele. Nyie wanunueni ndo mtajua wapiga kura ni sisi na wala sii mnyika wala dr blaa blaa na huyo marando unaemtaja. Hata mboe akichapa lapa maamuzi yapo kwetu watz . Bora nec ishampitisha lowasa basi. Tutasonga mbele.