MPASUKO mkubwa CCM, Juhudi za Kimataifa zinahitajika kukinusuru!

Ndo tatizo la kuchagua wajumbe wa NEC wanamuziki, wajumbe wa UWT, au UVCCM ambao kwenye viako hawana kauli bali kusubiri posho na kujipendekeza. Napata mashaka sana iwapo CCM wana kamati kuu, NEC na mkutano mkuu.

Inatisha kuona wajumbe kama NAPE, NCHEMBA, watoe mchango na dira halisia ya kuongoza chama.Watu wengi walishituka sana kuona vijana kama nchemba wanateuliwa kuongoza sekretariati muhimu za chama wakati huo chama kikiwa na msukosuko.

Chama pia kinaonekana hakina wadhamini wenye kauli, na msimamo wa kujenga chama. Chama hakiwezi kujengwa na rasilimali fedha na majengo tu bali usimamizi mzuri , wenye uongozi maridhawa. Si kama leo ambapo ccm ina ombwe la kiuongozi.

Pia mukama kapyaya kiungozi na mpka akina nape wanamdharau. CCM haina wenyewe , bali kundi la watu wanajipendekeza kuchumia tumbo na si kutetea umma kwa maisha bora. Haya ya urais ndo ombwe la kiuongozi, chama hakiko makini kusimamia mambo.

Walisema akina Butiku, mzee Warioba na wengine wakawapuuza, leo ndo yanaonekana.
 
kupelwa Hiyo ni moja ya misuguano ndani ya chama,

Sasa watu walio nje huku ukiwaeleza wanaona kama umepika jungu vile!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu watanzania kama wewe unahisi kuwa katika kuomba kwako Mungu anakusikia naomba wakati ni huu wa kuingia katika magoti yaliyo kolezwa na kufunga.

TUMWOMBE MUNGU CCM IFE KABISA. HILI NI KWA KILA MWENYE UCHUNGU JUU YA TANZANIA NA WATANZANIA.

Hili halina itikadi, la matatizo yanatukumba wote hayaangalii kama umevaa kijani au la. Ndugu zangu wana-CCM mimi ni Mwana- CCM mwenzenu tunatumiwa na viongozi kulinda nafasi zao za ulaji huku siye huku tukikimbilia porini kukwepa michango ya ujenzi wa sekondari inayotukaba koo huku mafisadi wakiendelea kukwapua fedha za Umma.

Mtu mmoja anaiba fedha inayotosha kujenga shule zaidi ya miambili za Kata. Nasikia uchungu sana. Eee Mungu najua uwa unanisikia na nimeweza kuyaona matendo yako makuu katika yale nikuombayo, na sasa nakuomba Uisambaratishe CCM hata ikifurukuta hata kuingia katika uchaguzi ishindwe vibaya sana na huo uwe mwisho wake. Tumechoshwa na NDIYOOOOOOO Hata kwa mambo ya kupuuzi.

Eeeh Mungu iue CCM MOJA KWA MOJA. Kila anayeipenda Tanzania na watanzania aseme AMINA
 
Mwandishi aw thread hii Hana habari na kinachoendelea. CCM kwa sasa iko salama kuliko Wakati wowote siku za karibunn. Hao unaowataja hata wote wakitoka CCM hapati kuwa na madhara yeyote.

Hebu jiulize Membe kwa mfano Ana kundi gani la kusumbua Chama cha mapinduzi. Sita I alitoa CCM atakaemfuata labda Margret sitta mkewe.

Unaandika mabo ya kuffikrika ambayo aungependa yatokee ingawa Hayattokei wala hayatokea.
 
Ndugu zangu watanzania kama wewe unahisi kuwa katika kuomba kwako Mungu anakusikia naomba wakati ni huu wa kuingia katika magoti yaliyo kolezwa na kufunga.

TUMWOMBE MUNGU CCM IFE KABISA. HILI NI KWA KILA MWENYE UCHUNGU JUU YA TANZANIA NA WATANZANIA.

Hili halina itikadi, la matatizo yanatukumba wote hayaangalii kama umevaa kijani au la. Ndugu zangu wana-CCM mimi ni Mwana- CCM mwenzenu tunatumiwa na viongozi kulinda nafasi zao za ulaji huku siye huku tukikimbilia porini kukwepa michango ya ujenzi wa sekondari inayotukaba koo huku mafisadi wakiendelea kukwapua fedha za Umma.

Mtu mmoja anaiba fedha inayotosha kujenga shule zaidi ya miambili za Kata. Nasikia uchungu sana. Eee Mungu najua uwa unanisikia na nimeweza kuyaona matendo yako makuu katika yale nikuombayo, na sasa nakuomba Uisambaratishe CCM hata ikifurukuta hata kuingia katika uchaguzi ishindwe vibaya sana na huo uwe mwisho wake. Tumechoshwa na NDIYOOOOOOO Hata kwa mambo ya kupuuzi.

Eeeh Mungu iue CCM MOJA KWA MOJA. Kila anayeipenda Tanzania na watanzania aseme AMINA

Maombi yako ni mazuri na yenye uzito:

Nami nasema Ameeeeeeeeeeeeee!
 
Maombi yake yatafika. Kwa shetani kisha yatakuangamiza wewe na Chadema yake!
 
Mwandishi aw thread hii Hana habari na kinachoendelea. CCM kwa sasa iko salama kuliko Wakati wowote siku za karibunn. Hao unaowataja hata wote wakitoka CCM hapati kuwa na madhara yeyote. Hebu jiulize Membe kwa mfano Ana kundi gani la kusumbua Chama cha mapinduzi. Sita I alitoa CCM atakaemfuata labda Margret sitta mkewe. Unaandika mabo ya kuffikrika ambayo aungependa yatokee ingawa Hayattokei wala hayatokea.

Inasikitisha kuona chama kikongwe kama ccm ndio kina watu wa kukisemea mitandaoni kama wewe!

Hakika unaonyesha hujui yaliyondani ya ccm kila uchao! Fuatilia mkuu ujiridhieshe
 
hiki chama acha kife tu hata leo usiku ....we have to support chadema now for new colonization era of better life....R.I.P CCM YOU HAVE GONE TO LATE
 
Heading na Content tofauti kabisa...ebu pitia hotuba ya Lowassa wakati anaongea na waandishi wa habari anakuambia yeye na JK hawakukutana barabarani...nimefungua hii thread nikidhani nakutana na habari ya maana kumbe ni Vapour.
Pole Ritz!
 
Mkuu labda nikusaidie, PLO ndio hutoa mafunzo ya kijasusi (green guard) ndani ya ccm,

FRELIMO ni mdau mkubwa na waasili wa ccm tangu chama hich cha Samora Macela kilipokuwa kikidai Uhuru toka kwa Mreno na hivi majuzi kilipokuwa kikipambana na RENAMO

ANC hiyo ndio muhimili wa usaidizi kwa ccm, na mtu muhimu sana kwa ustawi wa kijani, ANC imekuwa ikisaidia kutoa mafunzo kwa ccm ya kuendesha siasa za kileo hasa za KUCHAKACHU matokeo ya chaguzi!

Kwaujumla hapo vyama nilivyovitaja ni ROHO ya kidiplomasia ya ccm achilia mbali chama Yujing Tao wa CHINA

Duuuh hili sijawahi kulisikia, daah kama nikweli basi ccm hatunayo tene!
 
Huu ni uwongo mwingine, maana si mda mrefu Lowasa na JK walikutana Londan na walikuwa pamoja kwa mazungumzo je napo usalama walimlazimisha?
 
Mpasuko wa CCM kweli unahitaji usuluhishi wa PLO au Frelimo? Mnapoandika uzushi angalia unachoandika sio FRERIMO ni FRELIMO

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom