nyaambafuuu.nenda karudi tena umepata 2/10!Chadema itawatesa sana hamlali?
Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.
...
nenda ukaanzishe site yenu na mkwere mwenzio ndo uwe una post hizi thread zako za kipuuzi...............sawa zoba,mana u olwez controlled by feelings n not reasoning.Onyesha pumba moja katika hayo!
Zoba utadanganywa na mapungufu ya kiufundi mpaka lini, nchi yetu inataka viongozi wanaojitoa mhanfpga kama wanajeshi la umma, CDM, sijaona kama umeona DAWONS si tatizo kwako, unaongelea pilipili inayo liwa umeacha kuzungumia heroine cocaine za ccm kwa wadanganyika kama ww? madini na mazao ya maliasili yanavyo ibwa huoni? au umoja wa majambai ;olini unaufagilia ukiponda upungufu ktk CDM? kama ni ccm tunisia itawakuta tutachoka kuburuzwa na hata makinda akina r,,,,,,,,z''''''''''''1........... wanaodhani tz ni yao.Baada ya sakata la kususia hotuba ya Rais Bungeni na mpasuko uliojitokeza huko, hivi sasa kuna mambo kadhaa ya ndani ya Chadema yanayo ashiri kuisambaratisha Chadema.
1) Kususia Hotuba ya Rais
Hili limetuonyeshaa ni jinsi gani Chadema inavyoendeshwa bila muelekeo, wakati wabunge wao wengi wa-kisusia hotuba ya Rais wengine wengi walisusia shinikizo la Mwenyekiti wao na kuamuwa kuto ingia kabisa bungeni siku hiyo. N awengine tukawaona, usiku huo kwenye hafla ya Rais ilhali viongozi wa Chadema walishinikiza wabunge wa Chadema wote wasiende huko.
2) Kugombea vyeo na nafasi za upendeleo.
Tumeona sakata la nafasi za upendeleo haswa za ubunge jinsi zilivyoleta mvutano ndani ya Chadema na kufikia wana Chademaa wengine kuwachia ngazi, hii ni dalili tosha kuwa utawala wa ndani wa Chadema una mapungufu makubwa.
Tukaona pia jinsi Zitto alivyopigwa chini na Mwenyekiti wake katika kuwania nafasi ya uongozi wa upinzani bungeni. Hali kadhalika tukaona Zitto alivyosulubiwa mpaka kulazwa hiospitali na kupigwa marufuku na uongozo wa Chadema kuwa asiongee na vyombo vya habari kuhusu Chadema kwani yeye si msemaji wa Chadema.
3) Sakata la Arusha:
Tumeona jinsi wengi wa viongozi wa Chadema kutokuhudhuria kwenye maadamano yaliyoshinikizwa na kushadidiwa na viongozi wachache wa Chadema. Na pia tukaona mvutano mkubwa ukitokea katika kutumia maiti kama njia ya kujipatia umaarufu Chadema, ni viongozi wachache wa Chadema walihudhuria "kuaga miili ya marehemu" hao.
Tukaona kuwa hata Fundikira ambae ni Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Chadema mkoani Arusha kukataa kuhudhuria muago huo, akisingizia kuwa alikuwa na wageni nyumbani kwake. Wageni zaidi ya Mwenyekiti wake wa Taifaa na Katibu Mkuu wake na Kuaga "wahanga"? hilo ni la kujiuliza.
Ukitazama kwa juu juu utaona hayo si kama mambo ya kawaida, na ukiingia ndani kidooogo, utaona kuwa huo ni mpasuko na mtafuruku mkubwa ndani ya Chadema.
Wenye macho hawaambiwi tazama, na wenye masikio hawaambiwi...
Zoba utadanganywa na mapungufu ya kiufundi mpaka lini, nchi yetu inataka viongozi wanaojitoa mhanfpga kama wanajeshi la umma, CDM, sijaona kama umeona DAWONS si tatizo kwako, unaongelea pilipili inayo liwa umeacha kuzungumia heroine cocaine za ccm kwa wadanganyika kama ww? madini na mazao ya maliasili yanavyo ibwa huoni? au umoja wa majambai ;olini unaufagilia ukiponda upungufu ktk CDM? kama ni ccm tunisia itawakuta tutachoka kuburuzwa na hata makinda akina r,,,,,,,,z''''''''''''1........... wanaodhani tz ni yao.
Siyo siri umeniboa na urofa na uzoba wakufikiri, amka ukomboe nchi yako, wacha maji ya majani ya mgoma vaa magwanda tuponye nchi.
kudadadeki nimechikia sn.
Duhhh, ukweli unauma, nimetonesha kidonda! Mamaaa.
DUU!!! Cha ajabu sana Zomba ni Senior Member. Lakini si ajabu sana kwani hata Makaba anaweza kuongoza chama na analysis zake huwa hizi hizi kama za zomba. Kwani hilo zigo la Ruzuku ndogo litawaacha salama. Hatutashangaa makatibu wa wilaya wote wakiachia manyanga na kukiacha chama hakina tena mizizi mashinani.
zomba naona unajitahidi kushawishi nguvu ya uma kubadili mwelekeo ila ni ngumu, ila big up hatuewzi kukubaliana kwa kila jambo
Zombie, unajitahidi mwana kufuatilia siredi yako, maana katika kila michango 3 miwili ni ya kwako unataka tu nawewe uonekane uko bize. Pole bwana mdogo lakini kama ni kazi ya kutumwa waambie waliokutuma kazi imekushinda, Wadanganyika hawadanganyiki tena! tena wamekuwa werevu hao!
Onyesha pumba moja katika hayo!