wapinzani wanatakiwa wagawane majimbo ya kufanya uchaguzi kulingana na nana anakubalika zaidi kulingana na kura za maono . Sio kusimamisha tuu ili wapate pesa ya ruzukuchadema ni chama binafsi, na huo mpasuko upo, tena mk sana, sema huyo mchungaji wao dkt slaa anamuogopa zitto, kauli za zitto ni za kinafiki maana huwezi kusema eti utamuunga mkono mgombea mwingine hata kama chadema wakisimamisha mgombea. Inamaanisha ataenda kumnadi kafulila huko kgoma, na uongozi wa chadema huko kigoma nao watamuunga mkono nani..mgombea wao au wa zitto. Chadema humu ndani mmejaa na mtaongea chochote tu kuitetea, kama zitto angeamua kumuunga mkono mrema huko vunjo wote mngekuja juu wana chadema.
Ukweli ni kwamba uongozi unamuogopa zitto na ndicho kinachompa kiburi, na uhakukka hata slaa anajuta kwanini alimvua kafulila uongozi wake, hakutegemea kama hii tamthilia ingekuwa na twist and turns, wao wanakausha tu kwasababu chadema inajipanga towards the election in october. Zitto kashaleta mpasuko in and out chadema na wakimuendeleza atakipasua chadema kati kati. Na mama yake zitto atamuunga mwanae mkono so asituletee unafiki hapa jf, maana nauhakika yeye hua anmshauri zitto mara kwa mara.
Zitto anataka uenyekiti, mama yake katibu mkuu, mbowe na mchungaji slaa hawaelewi
Tumaini nadhani ana matatizo makubwa na Chadema na uongozi wa Chadema na hili linamfanya aonekane hayawani .
Wishful thinking..keep on dreaming!
Chama imara chama imara? chadema imara hapa JF tu lakini kwenye ground hali yake ni mbaya subiri matokeo 2010.
Resources walizotumia na matokeo yake ni vitu viwili tofauti kabisa, ugomvi wake baada ya uchaguzi utakuwa maradufu...
Siku nilipogundua hulka yake siku hizi hanisumbui sana yeye mpeleke hasa kwenye mambo ya Uislam na Ukristo, halafu ni anti-Chadema piga ua hata utoe hoja gani hakubali mtaishia kutukanana. Mimi sioni ubaya wowote yeye kuwa anti-Chadema ndiyo demokras tunayotaka where we dare to talk openly lakini ubaya unakuja pale anapoanza matusi ambayo hayasaidii kitu.
Tumaini nadhani ana matatizo makubwa na Chadema na uongozi wa Chadema na hili linamfanya aonekane hayawani .
wala sina mpango na chadema maisha yangu yote...labda wabadilishe viongozi huko mbeleni as for now...NO NO big NO.Achana na chama letu weye,chama imara kweli kweli mbinu zote za kijinga zimeshinswa kuvuruga chadema na zitaendelea kushindwa.
Kwa taarifa yako chama ambacho kimetumia resources zake na zimelipa. Angalia katika chaguzi ndogo ndogo latest utaona kuwa pamoja na ccm kushinda kwa margin ndogo lakini walilazimika kutumia billion of shilings kuhonga na vurugu zote.
Oh! Kweli chadema ni sifuri, siwezi kukubaliana na askofu na meneja wa bar kuwa kiongozi wangu..daima..
Sometimes CHADEMA makes me sick, mwanzilishi ni Edwin Mtei.
Mbowe ni mkwewe Edwin Mtei (ni kweli?---jamani nisaidieni)
Lucy Owenya (viti maalum CHADEMA) ni binti wa Ndesamburo--someone please help me if it is true.
Zitto Kabwe na mama yake wote wanasiasa machachari ndani ya chama.
na eti Viti maalum mwingine wa chadema ni mkwewe ndesa (mke wa kijana wa Ndesa)
Hiki chama kimekaaje?
wala sina mpango na chadema maisha yangu yote...labda wabadilishe viongozi huko mbeleni as for now...NO NO big NO.
huu ni uzushi
CHADEMA IMARA
Wacha uvivu wa kufikiri. Kwenye vyama vya siasa, jamii nk panapokuwepo watu wa aina mbali mbali ni lazima itatokea wakati watu watatofautiana kimtazamo, fikra etcVipi wanagombea fweza za ruzuku? Lazima Chama Cha Majambazi wamewamwagia pesa za ruzuku hapo sio bure.